TBS- rotten

EVIDENCE No 2 certificate No 17810 vehicle reg; T132TTW





Yafuatayo ni madudu ya pili kama nilivyowaahidi.
Kama kawaida hivi vyeti navyo nilivinunua na magari niliyoyanunulia vyeti ndio haya hapa. Hili gari hata ukiletengeneza vipi halitaweza kuwa tena barabarani lakini WTM alitoa cheti haraka sana na kudai hela yake ilipwe kwenye akaunti yake mara moja. nilifanya kama alivyoamuru na nikapatiwa cheti bila matatizo.
Hivi kweli serikali itafumbia macho madudu kama haya mpaka lini
Kwa nini TBS wanaruhusu madudu kama haya kuendelea pamoja na vielelezo vyote hivi
MIE NADHANI ALIETOA CHETI NI KIPOFU HIVYO ALIGUSISHWA GARI JINGINE AKAZANI NDIO HILI (kwa sababu haoni)
Mie sidhani kama kuna ushahidi uliokamilika kama huu
Kama nilivyosema mwanzo.
Vyeti original ninavyo
Magari haya mabovu yapo ,
Ushahidi wa malipo upo
Email za kuombea hivi zipo.
Ushahidi wa video upo
Mpiga picha ambaye ndio mimi nipo na nipo tayari kujitokeza popote kutoa ushahidi kwa gharama zangu mwenyewe.


NIKO FREE KUJIBU MASWALI YA POLISI, BUNGE , TAKUKURU AUCHOMBO CHOCHOTE CHA KISHERIA
Mwenye kutaka contacts zangu Nitampatia


Still more to come!


Mjumbe mwenye hasira sana


 
Huu ni ushahidi kuwa tz ni jalala la vitu vibovu......

yoyo, Tanzania haina mwenyewe. you can do anything and bouce around!!!

hii ni treala ukipata picha ya uhamiaji utazimia hapo hapo. mali asili sijui hata nisemeje.

yale ya Ngeleja ni madogo.
 
Back
Top Bottom