TBS NI WEZI:- NANI ANAFAIDIKA NA INSPECTION FEES DUBAI,SOUTH AFRICA,JAPAN,UK etc

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,518
8,584
. Your government has implemented a new law where all goods need to be inspected according to the “Tanzania Bureau of Standards”, before it is shipped to your country.

This inspection is going to cost USD 250.00. I will have to add this cost to your invoice and wait until you’ve transferred this money to us. I’ve attached all the information about this process for you. I’m really sorry for the inconvenience caused, but it is out of my control.

ANGALIENI NAMNA WATANZANIA TUNAVYOIBIWA ....HATA HUKO NJE WANATUSHANGAA SANA ..KILA IDARA INAJIAMULIA TU KUJIANZISHIA VIMIRIJA VYA PESA........MARA EWURA ...MARA TBS.....THIS IS TOO MUCH JAMANI ....KUCHAJI WATANZANIA DOLA 250 INSPECTION FEE FOR EVERY IMPORT TRANSACTION IS TOTALLY UNFAIR....NI WAZI HIZI GHARAMA ZITAMUADHIRI MLAJI..........

WE ARE NOW LOUGHING STOCK ....HUKU NJE ...UKIHOJI WANAJIBU.."your government".......kweli kama ni serekali tumeipata......

Naomba wakuu nijulisheni hizi inspection fee...kwenye hiyo dola 250 kwa kila container au gari au transaction........mgawanyo wake ukoje...ni asilimia ngapi inafika hazina......[angalau ilipe madaktari] na ngapi inaenda kwa wateule wachache...

Naona Ekerege umeamua kula kama nzige hapo TBS.....
 
Hii nchi tumejaza watu wasiobebeka, wasiona huruma kwa wananchi tena wasio na uzalendo karibu kwenye kila idara nyeti ya umma. Inakula kwetu. Wanahangaika na kuvuna wasipopanda. wanamatatizo gani??????
 
Yule Mkurugenzi wao juzi alihojiwa na Tume ya Bunge ya Mashirika ya umma, akajiuma hadi aibu!
Lakini cha ajabu hadi leo hakuna dalili za kumwajibisha!

Jamani pigeni tu mahesabu makontena yote yanayoingia ....toka nje....,magari ,na mizigo mingine hata inayoingialia airport...in short wanachaji dola 250 for every invoice.....jiulizeni kuna transaction ngapi kwa mwaka....this is multi million dollars deal......na hakuna anayesema kitu......Nchi nyingine inspection fee ina range usd 25 to 50 ...hapa kwetu 250......Naamini hiyo pesa ingekuwa inaingia hazina .....tungekuwa hatuna shida za migomo.......kweli nilikuwa natetea uwezekano wa mtanzania wa kawaida ...mtumishi wa umma au hata rais kumiliki trillions kwenye akaunti ...nikifikiri wanazitoa wapi...kumbe kuna mirija wametegesha nje ya nchi!!
 
. Your government has implemented a new law where all goods need to be inspected according to the “Tanzania Bureau of Standards”, before it is shipped to your country.

This inspection is going to cost USD 250.00. I will have to add this cost to your invoice and wait until you’ve transferred this money to us. I’ve attached all the information about this process for you. I’m really sorry for the inconvenience caused, but it is out of my control.

ANGALIENI NAMNA WATANZANIA TUNAVYOIBIWA ....HATA HUKO NJE WANATUSHANGAA SANA ..KILA IDARA INAJIAMULIA TU KUJIANZISHIA VIMIRIJA VYA PESA........MARA EWURA ...MARA TBS.....THIS IS TOO MUCH JAMANI ....KUCHAJI WATANZANIA DOLA 250 INSPECTION FEE FOR EVERY IMPORT TRANSACTION IS TOTALLY UNFAIR....NI WAZI HIZI GHARAMA ZITAMUADHIRI MLAJI..........

WE ARE NOW LOUGHING STOCK ....HUKU NJE ...UKIHOJI WANAJIBU.."your government".......kweli kama ni serekali tumeipata......

Naomba wakuu nijulisheni hizi inspection fee...kwenye hiyo dola 250 kwa kila container au gari au transaction........mgawanyo wake ukoje...ni asilimia ngapi inafika hazina......[angalau ilipe madaktari] na ngapi inaenda kwa wateule wachache...

Naona Ekerege umeamua kula kama nzige hapo TBS.....

Wizi mtupu
 
Tanzania inaliwa ile mbaya hakika na huku Hosea anawekwa kuwa nani wa Africa ? Kwa mafanikio yapi hapa Tanzania ?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom