TBL na Serengeti Bia

Hao walie tu.dhama za kuhodhi zimeshakwisha.Cha kufanya wapambane sokono kwa ubora wa bidhaa zao na huduma nyingine.wasipo kuwa makini ,watakwama ,kwa sabau wa Tanaznia wasasa ni waelewa,hawapendi kupelekw pelekwa.Tutaisimamia serengeti wasionewe.
 
sasa tbl inashare kubwa ya market,inapata hela nyingi sana hapa tanzania,lakini mapato yake almost 80% yanaenda africa kusini kidogo 20% wanagawana mishahara,ufisadi wa hawa mabwana wazungu etc, je hii kampuni inatafuta nini hasa?wapigani kwa mbinu halali sokoni,serengeti nasikia moshi mnaweka kiwanda jitahidini kiwepo hewani till decmber kumbuka mangi wanakula pombe sana hapa tanzania, so mlikosea kuanzisha kule mwanza kabla ya moshi,pia wanao uchungu wa tbl kuua kibo brew so hilo tosha ilikuwa point ya SBL kuweka kiwanda pale,changamkeni,pia tbl wana makosa mengi sana nyie mtumie kama stepping stones basi?muongeze na brand za kupambana na kilimanjaro,safari,kwani sasa naona kuna ndovu ya kuapambana na serengeti na heinken!! mjisshike vyema wadau wa SBL
 
Lakini mi naon ahisaidii chochote kwani TBL wanajiaribia biashara wenyewe! Juzi tumeenda Maeda bar sinza wakasema hawana Serengeti, tulikuwa kama mtu 8 watano wanakunywa Serengeti watatu fire extinguishers za TBL, ikabidi tuamie Shein bar na wahikaji wetu wapenzi wa TBL kwani tusingeweza tengana!
 
haya tena wadau watatu na hawa jamaa seems wanakunywa creti kila mtu so creti tatu meeda wamekosa kuuza,next time 10.., 40,...100. hadi anafunga baa na fire xtinguishers za tbl (nimecheka sana hili neno)
 
yaani hawa tbl badala ya kupambana kimasoko eti wanango'a mabango ya sbl, wanahonga manager kwenye mabaa hela kedekede huu si ufisadi? inabidi pccb waambiwe wachunguze hii rushwa kwenye bia. SBL wao ni marketing kwa kwenda mbele na kibia chao kimoja sasa watakapoungana na EABL itakuwaje si TBL watajinyonga kabisa
 
TBL wamechanganyikiwa maana walijisahau sana alafu wote kuanzia makaburu mpaka wazawa ni wala rushwa, na ujue wanapata mishahara mizuri sana, hii najua kwa uhakika,lakini wote ni mafisadi, ukisikia story za wizi wao kuanzia events kama Miss Tanzania, Basketball nk. mtabaki mdomo wazi. Wamejisahau mno, na hivi sasa Serengeti wameshaingia makubaliano na EABL, ndo maana wamechanganyikiwa mpaka CEO wao mkaburu anasema eti ushindani huu utakuwa mbaya kwa mtumiaji wa kitanzania! Kama si ujinga? Hawa FCC ni lazima kwanza wawapigee faini maana wanaharibu tu soko na wanawanyonya watumiaji.
Lakini mwizi siku zake ni 40......
 
now you guys are talking mimi nafikiri tuanzishe kampeni maana watu wakikosa bia kwenye baa moje watahamia kwingine. TBL inabidi waende shule kujifunza jinsi ya kusoma alama za nyakati. wakati wa apartheid umekwisha maana huu ukaburu ndio walikuwa waiitumia kabla ya uhuru wa SA.

inabidi waelewe watanzania wameenda shule watawadanganya hao hao wadogo na wenye baa kujiharibia wenyewe. Nimesikia SBL wakiingia ubia na DIAGEO/EABL products zao zitakuwa Johny Walker zote red/black/blue na green, baileys, vat 69, smirnoff vodca, smirnoff ice, captain morgan, tusker, white cap light, white cap, alvaro, malta guiness na mazagazaga mengine

SBL watatisha maana nasikia pamoja na taifa stars Tusker project fame itakuwa yao, tusker cup yao, malta street dancer yao..kasheshe watu watajinyonga humu!
 
Naomba Mungu huu ushenzi usihamie Nyamachabez. Itakuwa balaa.

Mkuu,

Duh kumbe wewe tupo jirani?

Hivi hili jina Nyamachabez lilitokana na nini? Kuna mtaa hapa unaitwa Hugo Chavez, yawezekena hii Chabez = Chavez?

Anyways Serengeti ina aroma kama ya RUBISI na kwa hakika inanikumbusha Karagwe Kaisho

SBL - Kazi Nzuri, jihadhari na mafisadi
 
now you guys are talking mimi nafikiri tuanzishe kampeni maana watu wakikosa bia kwenye baa moje watahamia kwingine. TBL inabidi waende shule kujifunza jinsi ya kusoma alama za nyakati. wakati wa apartheid umekwisha maana huu ukaburu ndio walikuwa waiitumia kabla ya uhuru wa SA.

inabidi waelewe watanzania wameenda shule watawadanganya hao hao wadogo na wenye baa kujiharibia wenyewe. Nimesikia SBL wakiingia ubia na DIAGEO/EABL products zao zitakuwa Johny Walker zote red/black/blue na green, baileys, vat 69, smirnoff vodca, smirnoff ice, captain morgan, tusker, white cap light, white cap, alvaro, malta guiness na mazagazaga mengine

SBL watatisha maana nasikia pamoja na taifa stars Tusker project fame itakuwa yao, tusker cup yao, malta street dancer yao..kasheshe watu watajinyonga humu!

Eee bana ee mtaua bendi wazee!
 
Lakini mi naon ahisaidii chochote kwani TBL wanajiaribia biashara wenyewe! Juzi tumeenda Maeda bar sinza wakasema hawana Serengeti, tulikuwa kama mtu 8 watano wanakunywa Serengeti watatu fire extinguishers za TBL, ikabidi tuamie Shein bar na wahikaji wetu wapenzi wa TBL kwani tusingeweza tengana!

Hapo umenichekesha kweli hahahahaha TBL watakoma sasa
 
na jana nilikuwa hongera baa sinza hamna, tukaenda topland bar magomeni hola, tukahamia highway bar nako patupu kasheshe hupati Chui kafichika! ila nafikiri akitoka huyu chui atauma sana watu. Chuiiiiiii uko wapi
 
Karibu Jamvini Mkuu,

Inaonekana Mkuu unajua kumtafuta Chui

Hongera Baa (Sinza) Mpaka Topland/Highway (Magomeni)!

Ungepitia Nyamachabez zipo nyingi tu na sasa hivi ndio naagiza moja baada ya kuchomoka kwenye JUA na FOLENI za Dar es Salaam...
 
Makaburu wanataka kuleta ukaburu Tanzania TBL lazima watafulia tu mwaka huu.
Chui yuko juu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Unajua tangu Serngeti inaanza TBL walidharau sana na kuona hawatafika mbali,sasa wameshtuka kuona duh vibwana mdogo vinakuja juu kweli kweli na one brand? sasa wananza visa vya bi mkubwa, ujue makaburu wanataka kuona wao pekee ndio wanongoza kwa kila kitu hapa afica kam si duniani,ukitaka kubisha angalia banks, migodi,shopping malls,yani huwa wanaingia kuuwa viliyopo,sasa hili la mchezo mchafu kuzuia vilaji vya watu is too much, basi watanzania tuwasuse kama hawawezi kuwa na adabu!wanapata hela nyingi sana lakini huwezi amini wafanyakazi wanateseka kifwedha ni noma, wapo wachache wezi kama watu wa makerting,sales basi,kama wataka kujua uliza mfanyakazi ndani ya tbl usikie miyeyusho yake,utakimbia!!
leaves can be made into medicine!! hahaah Heshima mbele.

mnajua Serengeti imeanzishwa na nani kwa hela ipi? mnakumbuka zali la Stela beer? Mnamkumbuka Chavda and the company?
 
na jana nilikuwa hongera baa sinza hamna, tukaenda topland bar magomeni hola, tukahamia highway bar nako patupu kasheshe hupati Chui kafichika! ila nafikiri akitoka huyu chui atauma sana watu. Chuiiiiiii uko wapi

Ee bana ee hadi hongera bar, watatuua hawa TBL kwa kutukatisha starehee yetu!
 
Nasikia hadi bamboo bar kinondoni hakuna!

Mkuu,

Hiyo ni kweli kabisa. Siku tatu zilizopita nilikubaliana na rafiki yangu mmoja tukutane pale Bamboo Kinondoni mida ya jioni kwa ajili ya mazungumzo muhimu. Mimi niliagiza Serengeti na mwenzangu akaagiza Castle. Cha ajabu niliambiwa pale Serengeti hawauzi. Nilimuuliza muhudumu kwanini hawauzi ananielekeza niwaulize mabosi wake. Nilijua ni huo mchezo mchafu. Nilichofanya nikumwomba mwenzangu tuondoke twende baa nyingine ambako tutapata bia aina zote mbili ya kwake Castle na mimi Serengeti. Tukaamia Hunters Club.

Kwa kweli hiyo strategy ya hawa TBL ni mbio za sakafuni. Serengeti ni moto na wasifikiri kila mtu anakwenda kunywa Bamboo na hiyo maeda.

Hivi hawa jamaa wa Fare Competition wanafanya kazi gani? Kuna jamaa yangu mmoja pale ngoja nimpigie simu nimuulize kwa nini wasiingilie kati mchezo huu mchafu!!

Tiba
 
Huku wazee wafisadi wa TBL hawamo?au wameumbuka ?naona mashambulizi tuuu hakuna aneeleza ukweli au uhalali wa hoja hii?au ndo ukiona nimekaa kimya jua nimesakubali we niangusage tuu!!
 
Back
Top Bottom