Mkuu mi ndio kwanza nasikia kutoka kwako hivyo iwe hamasa kwa wa bongo wote tufuatilie ili tupongeza maendeleo haya, hata msumbiji wanatushinda Inter tv?Nasikia TBC1 walitoa frequency za TBC2 ambazo zinapatikana kupitia KU Band LNB. Kama kuna mtu amezidaka pls tuhabarishane!
Hapa kazi ipo hata hili nalo.....!KU Band LNB ndio nini?
Ahahahaaaaah Genekai bwana si umjibu!Hapa kazi ipo hata hili nalo.....!
KU Band LNB ndio nini?
OPTION TWO:lipia dstv yako full kategori kwa laki moja na elfu sabaNi virungu ambavyo vinafungwa kwenye dish (antenna). Hivyo virungu viko vya aina mbili ninazozifahamu kwa Tanzania, C-Band (haka ni kakubwa kidogo) na KU-Band ambako ni kadogo na mara nyingi huwa naona ukikaweka kanakamata channel za South Africa za Dini, Press TV ya Iran, Emmanuel TV ya Nigeria, nk. Katika matangazo yao TBC1 nasikia walidai kwamba kuna frequency ambazo zitatumika kuangalia mashindano ya Kombe la Dunia kupitia KU-Band LNB. Kwa bahati mbaya sijazipata!
Mbona mimi walinicharge 108,000! Waliniibia 'buku' nini?OPTION TWO:lipia dstv yako full kategori kwa laki moja na elfu saba
OPTION TWO:lipia dstv yako full kategori kwa laki moja na elfu saba
[/B]
Kima cha chini cha mshahara ni tsh 104,000 nikilipa 107,000 nitakula nini mwezi mzima jamani? Kweli kila kizuri cha tajiri cha maskini ni kibaya siku zote.
Mbona mimi walinicharge 108,000! Waliniibia 'buku' nini?
Nasikia TBC1 walitoa frequency za TBC2 ambazo zinapatikana kupitia KU Band LNB. Kama kuna mtu amezidaka pls tuhabarishane!
Kwa aliyelipia jana 30th May 2010 Premium Dstv imegonga 115,000 - reason dola imepanda!
Well, hawakuzitoa - nilikua naagalia hicho kipindi. Most of the time waliongelea
- Wataonyesha nini kupitia nini (Kombe la dunia kupitia TBC2)
- Coverage na mahitaji ya msingi kuona matangazo ya TBC2 (Mikoa yote mikubwa, with additional repeater being installed, and 50km radius coverega from the base station, unahitaji EASY Tv decoder kuweza kukamata TBC2)
- e.t.c
Kuna jamaa yangu mmoja anadai walitoa, lakini sio kupitia kipindi cha TUAMBIE ambayo inawezekana una-refer, nimemwambia anitumie naona bado hajanitumia!
Uzuri wa hawa jamaa kama mwezi fulani mifuko haisomi, unaweza usilipie mwezi huo, ukalipia unaofuata! Ila mambo ya kulipia "in reference to dollar" ndio tatizo!