Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
Labda mi sijui maana halisi ya habari, lakini kitendo cha tbc kuweka mambo ya kale pindi nyerere alipofanya ziara zake sidhani kama ni sahihi kwenye taarifa ya habari. Mi nadhani wangetenga muda maalum na kuweka hayo mambo yao. Eti miaka 50 ya uhuru bado nchi gizani, viwanda vinasimama uzalishaji kisa umeme. Baada ya kuonyesha walokosa ajira kwa sakata la umeme wanatupoza na enzi hizo wakati wengine hata hatukuwepo....mla kala leo bana mla jana kala nn? Wamenikera sana.