Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live

Na ndio maana hata katika wale wabunge ambao walikua waapishwe leo natumaini walijua hawatakua na muda wakujadili yaliyo na maana kwa taifa hili kwakua walishajua bunge litaahirishwa kwa ajili ya mazishi haya. Sasa nimeshaamini kwanini Tanzania sisi ni masikini na tutaendelea kua masikini milele.
 
kuwapa sifa watu kama Kanumba sio jambo baya ila tuangalie tunatoa mifano gani kwa kizazi cha mbele.. Tunajenga role modalz wa haina gani kwa vizazi zijavyo, wasanii? Wanamuziki? Wanamitindo? Watoto watakuwa wanatamani kuwa kama kina kanumba, kwasabu ndo wanaona huko ndo kuna faida, hela na heshima..
Kama nchi maskini tulitakiwa kujenga wasomi na kuwapa kipaombele na vyombo vyingi vya habari vionyeshe mambo ya manufaa wanayofanya... Kizazi kijacho kingetamani kuwa kama wasomi na taifa lingeokoka..
Tuache kujifananisha na mataifa yaliyoendelea, wao wasami wanakipaombele kikubwa na hata kutangaza kifo cha wanamuziki au celebrities wao haita chafuz mawazo ya kizazi kijacho...
Watanzania tunahitaji maombi, maombi kila siku...
RIP Kanumba, ila kifo hiki kisitunyime kuifikiria nnchi yetu... Kuua nnchi inaanza pole pole kama hiv 2...
 
Sina tatizo na Clouds TV kuonyesha live mazishi ya Kanumba, lakini hili la TBC 1 nayo kurusha live mazishi hayo linanishangaza sana. Hivi kwa TBC1 Tv ya Taifa, suala hilo ni muhimu kiasi hicho? Mbona coverage ya matokeo ya chaguzi ndogo huwa haifuatiliwi kiasi hicho?

Kama Serikali yote imehamia huko unategemea nini?
 
Balozi wa Star Time anamsifia
Diana mke wa Prince huko UK alipokufa walirusha matangazo Dunia nzima Live
Pia Balozi wa Oxfam
Mnachochukia ni nini mbona na hii thread ipo Jukwaa la Siasa badala ya Habari Mchanganyiko?
RIP Kanumba
 
halafu Kibonde kawahoji katibu mkuu wa CCM Mkama na katibu mwenezi Nape.
sijajua ni kwanini aliwafuata hao tu.
kibonde pandikizi wa magamba.anazani kufanya vile ndiyo wamagamba watakubalika.tz we need changes.
 
Is this serious?

it can not be serious ukiwa hivi

avatar24727_1.gif
 
kuwapa sifa watu kama Kanumba sio jambo baya ila tuangalie tunatoa mifano gani kwa kizazi cha mbele.. Tunajenga role modalz wa haina gani kwa vizazi zijavyo, wasanii? Wanamuziki? Wanamitindo? Watoto watakuwa wanatamani kuwa kama kina kanumba, kwasabu ndo wanaona huko ndo kuna faida, hela na heshima..
Kama nchi maskini tulitakiwa kujenga wasomi na kuwapa kipaombele na vyombo vyingi vya habari vionyeshe mambo ya manufaa wanayofanya... Kizazi kijacho kingetamani kuwa kama wasomi na taifa lingeokoka..
Tuache kujifananisha na mataifa yaliyoendelea, wao wasami wanakipaombele kikubwa na hata kutangaza kifo cha wanamuziki au celebrities wao haita chafuz mawazo ya kizazi kijacho...
Watanzania tunahitaji maombi, maombi kila siku...
RIP Kanumba, ila kifo hiki kisitunyime kuifikiria nnchi yetu... Kuua nnchi inaanza pole pole kama hiv 2...

....wasomi wanaotuingiza mkenge kwenye ku sign mikataba mibovu? Kuanzia Radar, Madini, Richmond etc?
Wasomi wanaojinufaisha matumbo yao kwanza huku wakiua mashirika na viwanda vyenye kuzalisha ajira?
I hope wote waende jehanamu hao kwa kuwafanya WaTz waishi hovyo kabisa.

Steve Kanumba alijiwezesha, ni mfano wa kuigwa...Bongo Movie ni ajira kwa vijana wengi waliopoteza
hopes,...leo hii inaajiri walio mbele ya camera, na walio nyuma ya camera...kuanzia kina Mtitu Game mpaka
wamachinga wanaouza DVd mitaani..

Binadamu hatukosi mapungufu, ...tuombe mwisho mwema...hakuna anayependa mwisho
wake uwe wa mbaya....mw'mungu amsamehe kwa uwezo wake.
kuna mijitu Bongo inaadhimisha vifo vya kina Bob Marley, Michael Jackson etc..why not SK?
R.I.P Steve Kanumba.

"mtabeba jeneza langu hata kama ni maadui zangu' Steven Kanumba

Umeona ee? Dahhh, dunia tunapita tu...wengi weshajisahau nao wamo safarini...
 
Wameonyesha live saa ngapi ka sio umbea tu! Wameonyesha kwenye taarifa ya habari ambapo sioni tatizo.
 
Tumpe credit zake jamaa alikua ni mwanamapinduzi kwa industry ya Bongo Movies, ni sawa na kusema Bob Marley na reggae, Tupac na Hip Hop, Michael Jackson na Pop
 
Back
Top Bottom