TBC1 - Vita ya Kagera & Milipuko ya Mabomu Gongo La Mboto !!!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Nakumbuka April 2009 baada ya Milipuko ya Mabomu huko Mbagala kituo cha TBC1 baada ya siku tatu walianza kuonyesha "documentary" ya Vita ya Kagera..

Leo hii nimeona pia kituo cha TBC1 waki-air "documentary" ya Vita ya Kagera, na hii ikiwa siku chache baada ya tukio la Gongo La Mboto...

Sifahamu ni nini hasa wanajaribu ku-potray lakini nadhani ni kitendo cha aibu wakati bado kuna maiti na majeruhi wengi wa tukio hilo na huku TBC kuonyesha "documentary" ya VITA!!
 
Kyabushaija na wewe mfuatiliaji mzuri sana, Hongera! kuna mwingine aliyepata kufikiri kuhusu hili?
 
Kwa jinsi JK na we zake walivyo hovyo , yawezekana wanapotray picha kwamba watu watakapoingia mitaani mabom ndivyo yatakavyolia na kuuwa. Kuna mwanajeshi aliyekufa kwani.
 
Kuna shida fulani na wahariri wa vipindi TBC1.
Pia siku ya 5/2/2011, baada ya shamrashamra na sherehe za ccm kumalizika walianza kuonyesha hiyo documentary ya vita ya Kagera...Kwa akili zangu ni kama walikuwa wanawaonya watu kwamba chama pekee ni ccm, wakifanya tofauti kitakachofuata ni vita!...sioni logic nyingine!
 
Nakumbuka April 2009 baada ya Milipuko ya Mabomu huko Mbagala kituo cha TBC1 baada ya siku tatu walianza kuonyesha "documentary" ya Vita ya Kagera..

Leo hii nimeona pia kituo cha TBC1 waki-air "documentary" ya Vita ya Kagera, na hii ikiwa siku chache baada ya tukio la Gongo La Mboto...

Sifahamu ni nini hasa wanajaribu ku-potray lakini nadhani ni kitendo cha aibu wakati bado kuna maiti na majeruhi wengi wa tukio hilo na huku TBC kuonyesha "documentary" ya VITA!!
Wanaweza wakawa na ajenda ya siri!uwezi kujua!!
 
Tido Muhando ameshaondoka TBCCM mnategemea nini tutakipata kwenye hiyo station:A S 13:
 
Kwa jinsi JK na we zake walivyo hovyo , yawezekana wanapotray picha kwamba watu watakapoingia mitaani mabom ndivyo yatakavyolia na kuuwa. Kuna mwanajeshi aliyekufa kwani.

kwani watu wana mpango wa kuingia mtaani? tujulishane basi wazee
 
Bila kificho hawa TBC1 ni wasaliti wa wananchi hakuna asiyejua, TBC1 wao wanamanufaa na viongozi wa serikali na ndio maana yale ya ukweli hasa wananchi hutuyaoni yakiwa hewani huku wakitumia jasho letu kama watakavyo mungu yuko nasi na ndio maana tunaonyeshwa waziwazi wakifanyacho wanaonekana kwa watanzania tutakutana mitaani siku ya siku.
 
Ni kwa sababu iwe itakavyokuwa nafasi yako ni kujitoa mhanga kutetea maslahi yako kwa kutumia nguvu huku wenzako wakitumia silaha,hata hivyo mwisho wa siku kila mtu atakufa jamaa yangu uoga unaleta umaskini.
 
Back
Top Bottom