Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
Kinacho endelea kwasasa kwenye TBC ni wazi ya kuwa CCM wanatuonyesha wazi kuwa wananchi hawatakiwi kuufahamu ukweli wa maovu wa yatendayo, kwa kitendo cha TBC kutoonyesha kampeni za CHADEMA mikoani ni kuwanyima watanzania fursa za kufahamu ya kuwa ni kwanini CHADEMA inasema CCM ni chama cha mafisadi? wakati awamu ya kwanza ya kampeni za CCM zilikuwa zinaonyeshwa na kituo hicho kinacho jiita ni kituo cha TAIFA , kumbe ndivyo sivyo kwa hali halisi inayoendelea kwasasa, kiukweli naona sura ya machafuko 2010 kama CCM wanaonyesha dhahiri hawataki kushindwa kwa hoja so wanataka kuendelea kuongoza milele. TANZANIA tuamke kwasasa kuvipinga vitendo vya ukandamizwaji kama hivi, vyombo vya dola kutumiwa na chama tawala ni kwa manufaa yao binafsi ni upuuzi