TBC1 na mitambo ya kichina, kauli ya mzee Reginald Mengi

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Wakati inazinduliwa kwa mbwembwe nyingi nakumbuka waliwaalika wamiliki wa vituo vya habari vya binafsi alihojiwa mzee Reginald Mengi mmiliki wa kituo cha utangazaji cha ITV na Radio One.

Katika mahojiano hayo kuna sehemu alisema, ni vigumu sana TBC kushindana na vituo vya watu binafsi na leo hii kauli hiyo inaonekana dhahiri kwani kuna wakati unakuta vipindi vya radio vinasikika kwenye tv, yaani mawasiliano ya radi na tv zinakua hewani kwa pamoja. Picha yenyewe ni blue kama simu za kichina touch screen, kupishana kwa sauti kati ya nyimbo inayoimba na muimbaji, yaani hovyo kabisa.

Madhara ya kuchanganya siasa na vitu vinavyohitaji utaalam, leo hii tv ya taifa ndio station mbovu kuliko zote nchini.

Kweli MENGI aliona mbali sijui kwani hawakuenda kwake kuchukua ushauri leo haya yote yasingekuwepo, wanachezea kodi za walalahoi.
 
Mimi TBC huwa si angalii kwa sababu tangu Tido Mhando ameondoka TBC kitup hicho kimegeuka kuwa chombo cha propaganda cha CCM
 
Umesahau mkuu, kwani wangepataje 90% yao? (or sorry labda ni waungwana zaidi, 25%)
 
Yule Mshana mweupe kichwani kaweka pale alinde interest za wakubwa, wacha ife
 
Wewe ni mtaalam au mropoka hoi? mimi siyo mtaalam kihivyo lakinininatumia king'amuzi cha startime [mbia wa TBC] matatizo ninayoyaona ni kuwa most of the faces zimetoka kwenye radio broadcasting na kwenye tv broadcasting kinachohitajika siyo umahiriri wa kazi tu ila pia muonekano wako kwenye kamera na ndiyo maana inabidi make ups zitumike ili kurekebisha hali hio. ninafaHivi sasa TBC wanavyojitayarisha kuhakikisha come 31 December saa 6 usiku waweze kuwa kwenye digital broadcasting. maoni yangu ni kuwa hakuna station nyingine inayoweza kuwafikia. Ku link radio na TV siyo mbaya hasa kwenye taarifa ya habari na specific vipindi. Tufike wakati tujifunze kisifia japo kidogo.
 
ww utakuwa shabaan kissu au gabriel zakaria
 
  • Thanks
Reactions: amu
ww utakuwa shabaan kissu au gabriel zakaria

TBC-Radio hawasiki kabisa vijijini na hata kama ninataka kusikiliza taarifa muhimu basi inakoroma na kukata mawimbi.
Lakini radio zingine kama vile radio free africa, kbc, radio mozambiki bbc na zingine nyingi zinasikika vizuri tu LAKINI TBC sijajua kabisa tatizo lake.
Tupo wengi tunaopenda kusikiliza TBC-Radio lakini haisikiki huku kwetu vijijini.
Mafundi wa TBC radio wazinduke.
 
Wakati inazinduliwa kwa mbwembwe nyingi nakumbuka waliwaalika wamiliki wa vituo vya habari vya binafsi alihojiwa mzee Reginald Mengi mmiliki wa kituo cha utangazaji cha ITV na Radio One.

Katika mahojiano hayo kuna sehemu alisema, ni vigumu sana TBC kushindana na vituo vya watu binafsi na leo hii kauli hiyo inaonekana dhahiri kwani kuna wakati unakuta vipindi vya radio vinasikika kwenye tv, yaani mawasiliano ya radi na tv zinakua hewani kwa pamoja. Picha yenyewe ni blue kama simu za kichina touch screen, kupishana kwa sauti kati ya nyimbo inayoimba na muimbaji, yaani hovyo kabisa.

Madhara ya kuchanganya siasa na vitu vinavyohitaji utaalam, leo hii tv ya taifa ndio station mbovu kuliko zote nchini.

Kweli MENGI aliona mbali sijui kwani hawakuenda kwake kuchukua ushauri leo haya yote yasingekuwepo, wanachezea kodi za walalahoi.

at work
 
ww utakuwa shabaan kissu au gabriel zakaria
Tatizo la baadhi ya wanajamvi ni-kuassume hasa wakati mawazo yanapogongana na yenu. WHY ???
I YAM WAT A YAM AND HAS ALWAYS BEEN AND I AM NOT ASHAME TO SPEAK MY MIND AND I NEVER THINK THROUGH MY FINGERS
CHECK MI UP
 
Back
Top Bottom