TBC1 na matangazo ya kampeni 2010.

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Nashindwa kuelewa ni kwa nini TBC1 wakiwa wanatangaza habari za kampeni za wagomea , wakiwa wanatangaza kampeni za CCM matangazo yanakuwa clear na yanasikika vizuri, lakini ikishafika zamu ya vyama vya Mageuzi ndo hapo kero zinaanza, mara ooh tunaomba radhi ya kukosekana kwa sauti, picha hafifu na kadharika, nawaomba mtende haki kwa watanzania wote mnakera sana
 
pia kama umegundua wanatafuta maeneo yaliyojaa sana ndo wanapiga hapo, sehemu za ccm
zilizodolola wala hawazioneshi kama kule Dr Bilal alipokosa watu, mimi nashauri watanzania waihame
hii TV Station, ITV wanajitahidi sana ukilinganisha na wengine wote, tuwe twaangalia taarifa ya
habari ITV.....
 
Kuna mtu mmoja makini alinambia watangazaji na wafanyakazi wengi wa TIBISII ni wa mnyama anayeitwa 'usalama wa Taifa'...Au ndo usalama wenyewe huo unatekelezwa, who knows!
 
Jana walionyesha Mkutano wa Monika Mbega Iringa Mjini, 60% ya adhira yake ilikuwa watoto.:smile-big: Ambao hawatapiga kura.
 
Bado hujagundua ndugu yangu? Angalia kirefu cha TBC!

T - Tanzania
B - Bila
C - CCM
"HAIWEZEKANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII"

Hiyo ni kauli mbiu ya TBC.
 
:mad2:Kuna taasisi fulani ya kimataifa imetoa takwimu hivi karibuni kuhusiana na suala hili la uchaguzi-Tanzania nanukuu kipengele kimoja tu:-:-

"....Gazeti la mwananchi ndilo lililoongoza kwa 97% kwa kuandika habari zisizona upendeleo wowote katika harakati hizi za uchaguzi...."

Nijuavyo mimi, kutokana na Tanzania kukosa usawa katika Dira za kitendaji hususani katika masuala yayohusu nguvu za kidola, hilo linalohusu TBC1 ni mojawapo ya matokeo mabovu ya matumizi hayo.
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
pia kama umegundua wanatafuta maeneo yaliyojaa sana ndo wanapiga hapo, sehemu za ccm
zilizodolola wala hawazioneshi kama kule Dr Bilal alipokosa watu, mimi nashauri watanzania waihame
hii TV Station, ITV wanajitahidi sana ukilinganisha na wengine wote, tuwe twaangalia taarifa ya
habari ITV.....

Mimi ikifika saa 2 ya usiku wakati wa Taarifa ya habari huwa naangalia kwanza ITV, wakishamaliza habari za Kampeni za Uchaguzi ndo narudi TBC 1. Upuuzi wao nishaugundua zamani sana na nadhani watajikuta wanapoteza watazamaji maana shauku yetu wengi ni kujua kinachoendelea kwenye kampeni na si habari za Iraq na Afaghanistan.
 
Bado hujagundua ndugu yangu? Angalia kirefu cha TBC!

T - Tanzania
B - Bila
C - CCM
"HAIWEZEKANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII"

Hiyo ni kauli mbiu ya TBC.

na hata kauli mbiu ya CCM yasema ni "ARI MPYA ZAIDI, NGUVU MPYA ZAIDI na KASI MPYA ZAID" kwa kifupi
A= ari
NGU=Nguvu
KA=Kasi
ama " ANGUKA KATIKA KASI MPYA ZAIDI ILIYOKUWEPO HAITOSHI SASA WAMEONGEZA TUTANGUKA ZAIDI NA ZAIDI KWANI HATA TAKWIMU ZA UCHUMI 2005 ULIKUWA KWA ASILIMIA 6.7 NA MWAKA JANA 2009 NI ASILIMIA 4.5 HIZI NI DATA ZA UCHUMI WA JUMLA NA WA MTU MMOJA MMOJA NI KABISA KIFO KINAKUJA KWA HIYO NATUMAI KAMA CCM IKISHINDA TUNAKWISHA KABISA KWANI WAMEAMUA TUANGUKE KWA KASI NA NGUVU MPYA ZAIDI"

HABARI NDIYO HIYO
 
nilisha delete chanel hiyo tangu walipomaliza world cup, sikutaka presure mtoto wa watu,,,,
 
Mimi nilishakataza familia yangu kuangalia TBC ata kama,sitaki kusikia ze comedy wala kitu gani.Ushaona wapi wafanyakazi Tanzania/Africa watu wanaacha kazi sector binafsi wanakimbilia serikalini kwa kasi hivyo kama sio kutaka kunyong'onyesha vyombo binafsi vinavyopiga kelele kuhusu ufisadi.
TBC wanakumbatia mafisadi.Lakini mwisho wao umefika ngojea november Dk.Slaa ahapishwe.
 
Du! Ama kweli elimu ya uraia inabidi watu wapate... TBC is a public broadcaster mkuu!!! hope you know what I mean!!!
 
TBC na ZE Comedi yao haifai kitu.

Nakereka na tabia yao ya kuwaa watumwa wa mafisadi
 
Kuna mtu anaitwa Makwaia wa Kuhenga anadai TBC haina upendeleo wa namna yoyote - watu wengine sijui wanakuwa wamelewa masaa 24 kwa siku !
 
Kuna mtu anaitwa Makwaia wa Kuhenga anadai TBC haina upendeleo wa namna yoyote - watu wengine sijui wanakuwa wamelewa masaa 24 kwa siku !

Du masaa 24 kwa siku..kama Zain ya sh 1 kwa sek
 
Tatizo wafanyakazi wengi wa TBC ni WAKEREKETWA, WAFURUKUTWA, WAPENZI NA WANACHAMA wakubwa wa CCM na TIDO asiposikia maoni ya wazalendo akafuata ya akina MARIN Hassan wanaoegemea upande wa CCM, TBC itakosa mvuto kabisaaaaaaa kwa wananchi.
 
pia kama umegundua wanatafuta maeneo yaliyojaa sana ndo wanapiga hapo, sehemu za ccm
zilizodolola wala hawazioneshi kama kule Dr Bilal alipokosa watu, mimi nashauri watanzania waihame
hii TV Station, ITV wanajitahidi sana ukilinganisha na wengine wote, tuwe twaangalia taarifa ya
habari ITV.....

Kuna Siku moja kwa macho yangu nilishuhudia TBC1 wakitangaza habari za mkutano wa CCM Mwaanza lakini picha walizokua wakitumia ni za uzinduzi wao Jangwani. Mikutano ya ccm wengi wao ni makada tu!, ndugu zangu msiogope Dr. SLAA lazima aapishwe october
 
Back
Top Bottom