TBC1 na habari ya kusafirishwa kwa Dr. Ulimboka

Slogan yao kwa sasa inapaswa kuwa 'UWONGO NA UBABAISHAJI'
Muda si mrefu itakufa, kwa sasa inaishi kwa mashine inayoitwa ruzuku ya serikali,siku hiyo ruzuku ikasimamishwa kwa masaa 24 tu, huo ndio utakuwa mwisho wake.
Fununu kutoka chanzo cha ndani kinasema wakati wowote wafanyakazi wa TBC wataingia kwenye mgomo mkubwa:-
1/Kudai kulipwa pesa zao wanazodai kutoka kwenye malimbikizo ya mishahara,posho na marupurupu mbalimbali.
2/Kupinga manyanyaso na ubaguzi wa kiitikadi unaifanywa na wakurugenzi wao.
3/kupinga kuingiliwa kwa utendaji wao wa kitaaluma unaofanywa na watawala na makada wa CCM.
 
subirini "Mwananchi TV " mpate raha mpaka kumoyo.....

sent from my I pad
Near Magogoni

Mkuu inaanza lini hiyo TV? Dr.Ulimboka nimemwona kupitia ITV, nimetokwa na machozi kuona jinsi watu wanaotafuta haki wanavyoumizwa, na mafisadi wakiendelea kula kuku kwa mrija. Ebu niishie hapa machozi yameanza tena...
 
Inawezekana kauli ya ukombozi ya Dr.Ulimboka pale Airport wakati akiaga, imemstua sana na kumbadilisha mawazo ya yale waliyopanga watuzeveze.
 
Kwa mara nyingine tena TBC haijarusha taarifa ya kusafirishwa Dr. Ulimboka, wana harakati waliyozungumza juu ya tukio lile. Ningependa pia kujua mchango wowote uliotolewa na serikali katika kufanikisha safari ya matibabu ya Dr. Uli....! Kama hakuna jitihada yeyote, ni kwanini? Kama hakuna jitihada, je inataka kutuaminisha kuwa Ulimboka amechukuliwa kama adui?

Kibanga Msese
vichwa maji
 
Kwa mara nyingine tena TBC haijarusha taarifa ya kusafirishwa Dr. Ulimboka, wana harakati waliyozungumza juu ya tukio lile. Ningependa pia kujua mchango wowote uliotolewa na serikali katika kufanikisha safari ya matibabu ya Dr. Uli....! Kama hakuna jitihada yeyote, ni kwanini? Kama hakuna jitihada, je inataka kutuaminisha kuwa Ulimboka amechukuliwa kama adui?

Kibanga Msese

Hivi bado unaangalia tbc?tulishasahau.Hata kwenye king'amuzi chao simo,nilivunjilia mbali.Tbc huwa napata hasira hata nikiona nembo yao.Kuna mwandishi 1 ana gari lenye nembo nyuma nilituma chokoraa wakachana na wembe,na sasa tutatumia kombeo tutaitia hasara sana
 
jembe lilikua Tido Mhando, aliwahenyesha wabunge wa CCM kwenye midahalo.
 
Mi naona hawa TBC inabidi tuwakabe sana humu JF kiasi kwamba hata wafanya kazi wao walijue kwa uhakika kwamba wanatuboa sana na mpango wao wa kubadili jina na umiliki wa media ya umma kuwa ya ccm,na kuanzia leo mimi nimelikubali jina la TBCCM.!
Shame on them
 
Yaöekana mpango wa kutoa uhai wa Dr Uli uliandaliwa mdamrefu sana nakila idara ya serikali ilijipanga kuhakikisha wanaitetea serikari na kuficha ukweli!
 
nawaunga mkono makamanda wate hapa,hata ningeshauri yeyote anaetaka kutangaza biashara yake asitangaze na TBC kwani hakuna mtu ataona huko, TBC is dead kabisa.
 
Nahis kwa sasa hata watumish wa TBC hawajisikii fahar kujitambulisha kwa jamii kuwa wao ni wana-TBC,compared na kipindi cha tido ambapo wanahabar weeengi walikua na shauku ya kufanya kazi pale
 
Back
Top Bottom