TBC1 kweli kwisha kazi!

King2

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
1,277
181
Nakumbuka enzi za Tido Mhando michuano Kama EUROS. Tungekuwa Tunaona Live mechi zote 2 kwa siku. Now imebaki historia mambo kama hayo Tbc1.
 
Nakumbuka enzi za Tido Mhando michuano Kama EUROS. Tungekuwa Tunaona Live mechi zote 2 kwa siku. Now imebaki historia mambo kama hayo Tbc1.
Tv ya chamaa hiyo,na hela hawana wanahangaika tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kwa Euro mwaka huu sio Tanzania pekee yao nchi zote za Africa watakuwa wanaona mechi chache tu mie jana nimeangaika free tv nyingi za Africa mechi ya pili hawakuionyesha
 
Nakumbuka enzi za Tido Mhando michuano Kama EUROS. Tungekuwa Tunaona Live mechi zote 2 kwa siku. Now imebaki historia mambo kama hayo Tbc1.

Abudhabi TV; channel 4,6,10; mechi zote kama kawa
 
Jana nimecheki gemu moja tu UBC ile ya poland.
 
After Tido, we went back to TVT. Mtu mwenyewe kasomea Kivukoni enzi zile za kulishwa siasa mfu za ujamaa unategemea atafanya nini? Kwanza ni tv ya chama hiyo wala haihusiani na michezo. Nimesikia redioni wakitangaza kuwa TBC2 aka TVT2 wataonesha marudio ya Taifa Stars na Ivory Coast nkasema hivi hakuna live match LEO hadi watuoneshe recorded ambayo matokeo tunayo? Nimemkumbuka Tido kweikwei!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom