TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

Nadhani TBC1 waende kwa Tendwa wafanye usajiri wakudumu ilikiwe chama cha siasa,sijui ninani anafanya mambo aya!!!!!!!!!!wakumbuke TBC nishirika la umma wa watanganyika na si chombo bnafsi.
 
Hawa TBC ni sawa na parasite kwenye taifa letu nataka tuanzishe kura za maoni ili wananchi wajue kama kuna haja na kueendelea na TBC maana ni bora ifungwe kuliko kula hela za wananchi bure na kupotosha Uma nimekuwa nikiwafatilia kwa muda mrefu sana na nimegundua mengi ambayo kwa kweli kwa heshima ya taaluma ya habari ina mapungufu makubwa sana.

Tutaitisha kura za maoni ili tujue na watanzania waseme kama kweli TBC ina umuhimu wa kuendelea kuwepo.
 
Tushasusia TBC1 hata wakirusha matangazo yao usiku na mchana ya kuiponda chadema wenye akili tumeshajua nini kinaendelea serikalini dhidi ya chadema, ni hujuma tu! Hata kupitia kununua vyama vingine vya siasa kutoka upinzani ili viwe kinyume na CHADEMA!

Tunajua CUF wameshaitia mfukoni, TLP tayari, na vyama vingine vitafuata na wanachama wengi wachadema watanunuliwa kukisaliti chama kwa fedha nyingi! Hayo yakitokea msiogope wala kubabaika maana hayana budi kutokea, ila mpango wa ukombozi wa watanzania kupitia chadema upo palepale!

Yesu ilibidi asalitiwe na Yuda ili neno la ukombozi litimie! Lakini ole wa mtu au kikundi kitachotimiza neno hilo! Ni bora mtu huyo asingezaliwa au kikundi hicho kisingekuwepo, maana adhabu yake ni kifo cha kujinyonga mwenyewe!
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........
U-puuzi mtupu, ptuuuu!!
 
TBC mara zote wamekuwa wakiikwepa CDM kwa mtazamo kuwa wakitoa habari zao wataipa promo. Sasa wanakuja na tamko la kuilaani CDM. Hii ndio promo yenyewe sasa ambayo waliikuwa wakiikwepa. By the way, wana sababu gani ya kulumbana na political party? Wangelumbana na media nyingine wangeeleweka. Anyway, twende sasa TBC, leta wimbo!

mkuu komeo umenena. waache waipe promo cdm. watz wa sasa wana uelewa mkubwa sana wa kuchambua mambo. mpaka vijijini uwezo huo wanao. waache watupe promo mkuu.
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........

Kumbe TBC ina watu vilaza namna hii!!!???
 
Sasa TBCCM watoe tamko kali dhidi ya Chadema ili iweje? Wengine tulishaacha kutazama tbc1 miaka mingi iliyopita, kilichofanywa na kamati kuu ni kuwastua wachache waliokuwa bado wanaiangalia.

Kama sio ujuha ni nini wanaposema kwamba watafichua nyaraka za siri za viongozi wa Chadema ambao ni hatari kwa nchi. Nani anaweza kudanganyika kirahisi kwamba tbccm wana nyaraka za siri za Chadema eti wazikalie hadi walipotangaziwa kususwa ndipo wazitoe!!??
kama nyaraka zinazo hatarisha nchi viongozi wa CDM wanazo mbona police hawajawakamata mpaka sasa wakati wanajua nchi ipo hatarini kumbe police ni dhaifu CDM ni imara wameweza kukaa na nyaraka bila kukamatwa muda wote big up CDM.
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........

Labda kama watu wenye akili wameisha TBC.Itakuwa ndio kifo chake katik public sphere na watachangia kifo cha ccm 2015,kwani wakiwekwa katika agenda ya M4C vizuri inaishia kuandika vipindi visivyouzika vya CCM.Hawajui RTD ilishakuwa inakula umeme na hela za bure?

Ladba CCM waanze zindua TV ingine na waipe umaarufu mapema kitu ambacho ni kigumu sana,kabla hawajafanya hii blunder.
 
mwenye kiti wa tbc political party anaitwa nani????????????? cz wanapoanza kuzozana na cdm wana wapatia cdm umaarufu wa bure....... tbc wasome nyakati as hizi sio nyakati za zidumu fikra za mwenye kiti............

Marine Hassan
 
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.

My view:
tutasikia mengi kuelekea 2015 kwani TBC1 is just like another uprising political party..

Stay turned.........

Kicheko, tehe tehe tehe , halafu? what is the objecivee? kwani wao ndio wamekuwa wasemaji wa hao vijana wa CDM?
haisaidii tunajua hayo ni maneno ya nani, hata kama watakaosema ni TBC, ni katika kujenga propaganda zilizokufa wanadhani watampata nani katika hali ilivyo leo?

KWANZA KWA TAARIFA TUU, TBC IMEPOTEZA MVUTO KABISA HAKUNA WATU WANAOANGALIA KWA KUWA TBC NA REDIO UHURU HAKUNA TOFAUTI.
wanamaliza pesa za walipa kodi bure heri ifungwe tuu. CDM ni chagua la watu yeyote anayedhani ataimaliza kwa propaganda atajikuta akipoteza kila kitu.

NAIPENDA TANZANIA KULIKO TBC, NAIPENDA TANZANIA KULIKO CCM, NAIPENDA TANZANIA KULIKO UFUSADI.
TBCCM MNALO HILO CDM HAO MIOYONI MWA WATU PROPAGANDA MGANDO HAZINA NAFAI
 
Ni kitambo sana toka nimeshuhudia habari ya Tbc na hii ni kwa sababu ya bias waliyonayo Tbc as if ni Uhuru au Mzalendo.
 
Nashindwa kutofautisha tbc na uhuru fm, yaani tbc imekuwa kabisa kama tv ya chama. Ngoja watoe hilo tamko ili kila mtu ajue imekua tv ya ccm na sirikali.
 
kwani TBC NINI? Kwani hiyo tv nayo? Mi naionaga tu na shpdhani kama nikiiangalia itanifikisha popote.maana nachofahamu kile ni chama cha siasa mwaka 2015 watagombea na wao
 
hiv ule wimbo wao waliokuwa wanaurusha hewani wa kumsifia mfalme Suleiman alipoingia kwene kiti cha enzi mwaka uleee kwa mara ya kwanza, uliishia wapi?nishaacha kuangalia hiyo channel tangu tido alivotimuliwa.
 
Wakuu wanaoweza kupata taarifa juu ya fungu linalotengwa katika bajeti ya Serikali juu ya shughuli za TBC watujuze ili tujue tufanye nini baada ya hapo. Alafu inafaa tujue kama ni chama kilichopata usajili ofisi ya vyama vya siasa na kama wameshapata usajili wa muda kuendesha shughuli zao, la sivyo TCRA kitengo cha Broadcasting wafuatilie hilo na tuwasikie watasema nn kama kikitokea. Nadhani sasa tunapoteza dira kwa kila kitu BBC ikijaribu kufanya hivyo, nchi nzima itapinga na watu wataacha kutoa kodi kwaajili ya shughuli za BBC.
 
Back
Top Bottom