TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

Kilichosemwa na CDM ni ukweli mtupu TBC wanaboa sana kwa habari zao zilizo biased, wanapindisha ukweli kuifurahisha serikali na kudanganya umma. wengi tulishaacha kuangalia habari zao kabla hata CDM hawajatoa maamuzi
 
Hiyo TBC, tokea wafadhihina wa magamba, wamtimue Tido Mhando, imepoteza mvuto kabisa,kwa sasa TBC, haina tofauti na gazeti la Uhuru, huyo Mshana aliyeteuliwa na magamba, anaishushia hadhi kabisa taaluma yake. Kwa kuwa kwenye tasnia ya habari lazima ubalance habari zako, kwa maana huwezi kuyaongea mazuri ya CCM, lakini mabaya unayafukia!
 
Tunaigomea TBC pumbavu kabisa tena tukichukua nchi 2015 wafuatao wataondoka.
Said Mwema
Mkurugenzi TBC
Tendwa

Tena watafunguliwa mashtaka kwa matumizi mabaya ya madaraka
 
Halafu baada ya hapo mkurugenzi wa TBC ataomba msamaha. Si ndo kawaida....

subiri awazingue chadema,,,hata akiomba msamaha watasema ajiuzuru,ila juzi kawazingua waislam ameomba msamaha tu,hatujamsikia kima yeyote akimkemea zaid ya walengwa tu,,,,,
 
Wakuu Mimi binafsi naunga mkono TBC kutangaza vita na CHADEMA. Nilipomtangaza Mwigulu Kama shujaa wa kufoster mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini sikueleweka. Lakini imekuja kuwa bayana kwamba Mwigulu ni msaada makubwa wa growth ya CHADEMA.

Leo nasubiri kwa hamu kubwa TBC waanze vita rasmi na CHADEMA. Hiyo itakuwa gia kubwa ya kukiimarisha chama. TBC go, go ahead. Msiogope! Baadhi yenu pia mtaweza kuukwa U-DC baada ya kuishambulia CDM. Hii no endapo tu CCM itashinda uchaguzi 2015., jambo ninalokataa kata kata kwamba litawezekana kwa Tanzania ya sasa.
 
[h=6]TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA"
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.
[/h]
 
Sasa TBCCM watoe tamko kali dhidi ya Chadema ili iweje? Wengine tulishaacha kutazama tbc1 miaka mingi iliyopita, kilichofanywa na kamati kuu ni kuwastua wachache waliokuwa bado wanaiangalia.

Kama sio ujuha ni nini wanaposema kwamba watafichua nyaraka za siri za viongozi wa Chadema ambao ni hatari kwa nchi. Nani anaweza kudanganyika kirahisi kwamba tbccm wana nyaraka za siri za Chadema eti wazikalie hadi walipotangaziwa kususwa ndipo wazitoe!!??
 
mauji ya arusha yaliyofanywa na polisi si waliandaa kipindi maulumu kusapoti mauji, kitu gani kilitokea zaidi ya wananchi kumiminika cdm. na tbc kukosa watazamaji
 
TUSISHANGAE HILI...
Ndio maana TIDO MHANDO aliondolewa kiaina maana walishindwa au aligoma kuingizwa ktk choo cha kike kama akina Mwema walivyofanya hadi sasa...!
Nadhani TBC inasimamiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa na hivyo Vyama vipo vingi ila Msajili ndiye hataki kututangazia, maana hadi sasa tuushaona hivi karibuni:
  • POLISISIEMU PARTY (Kwa Polisi)
  • TIBISISIEMU PARTY (Kwa TBC1)
Na bado tutaona vyama vingi, na vyote ni against CHADEMA pekee na sio chama kinginecho...!
 
TBC janga la taifa. Nilikuwa mpenzi mkubwa wa channel hiyo enzi za Tido. Sasa hivi nasikia kichefuchefu kila ninapoiona. Ptu!
 
sijui mara ya mwisho lini kuangalia hili li channel la kipumbavu, hata watangazaji wake nimewasahau, linaangaliwa na magamba tu
 
[h=6]TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA"
Taarifa nilizozipata mpaka sasa kutoka kwa mmoja afisa wa TBC1 ktk kitengo cha IT, ni kwamba TBC1 taifa itatoa tamko kali dhidi ya CHADEMA ktk kipindi maalum kitakachoandaliwa ambapo pia kuna taarifa kwamba watatmia fursa hiyo kulaani vitendo viovu vya CHADEMA ktk kuhatarisha amani ya nchi lakini pia watafichua nyaraka za siri za CHADEMA zenye agenda chafu dhidi ya viongozi wachache ambao hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Pia kuna taarifa kuwa baadhi ya vijana ndani ya uongoiz wa CDM wanaopinga umamuzi wa chama kususia CDM.
[/h]

Mkuu Shine, Si kuna thread tayari iliyoanzishwa kuhusu issue hii, above all same content???!!!!!!!!
 
Laiti TBC ingekuwa japo na viongozi wachache wenye akili, wasingepoteza muda wao kuandaa hata hicho kipindi. Kwa namna TBC isivyoaminika na inavyochukiwa na wengi, sidhani kama wanaweza kuwafanya wananchi wawaamini. Watu wengi wakisikia kitu kinachohusu serikali au wapinzani wa serikali TBC, ni lazima wa-crosscheck na vyombo vingine vya habari kuhakiki ukweli wa habari ya TBC.

mwenye kiti wa tbc political party anaitwa nani????????????? cz wanapoanza kuzozana na cdm wana wapatia cdm umaarufu wa bure....... tbc wasome nyakati as hizi sio nyakati za zidumu fikra za mwenye kiti............
 
hawa tbc wana survive kwa kodi zetu, so nadhani wanataka kutuchokoza. Si ccm wanaolipia mishahara na mambo mengine naju huyu mtu anayeitwa wassira aka .....,(nisijepigwa tena ban maana nimetoka kifungoni just an hr ago cha 5 days kwa ajili ya aka ya huyo mzee) ndo mwenyekuleta hizo habari. Hakika tbc msituletee uoza huo
 
Back
Top Bottom