TBC1, ITV, STAR Tv NA CLOUDS FM Ni mali ya CCM?

Minda
Naunga mkono hoja yako, hivi vyombo naona haswa ni fedha kwa kipindi hiki cha mavuno wenyewe wanasema, wanajua kabisa jamaa wana hela hivyo wanajitahidi kuipata.
TBC wao ni kazi yao kwa uelewa wao !! na watangazaji wengine ni kujaribu kuona kama watakumbukwa na mafisadi (opportunists)
Hivi vingine ndo kama unavyosema kuogopa kuhujumiwa.





asante kwa kuliona hilo.
 
kama clouds fm wana vipindi vingi ambavyo havina msingi wana kipindi kizuri kimoja cha njia panda ambacho kinaeelimisha jamii kwa hiyo wajipange kwani ukweli ni redio ambayo ina wasikilizaji wengi sana''''''
 
kwa mfano clouds ndo waliharibu sana hasa kupitia mtangazaji wao Kibonde. jamaa alikuwa anakampenia waziwazi ccm, hata baada ya hapo utangazaji wake ovyoo zaidi baada ya kuondoka gadner. niliwahi kutuma email kwa kutumia adress iliyoko kwenye bango lao palepale stesheni kwao nashangaa ilifail.it was my favourite station, tokea hapo mpaka leo nikikuta mtu ametune station hiyo natamani hata kuvunja radio yake. kibonde ovyo sana!
 
wote ni wale wale tu lakin jaman kidoooogo afadhali ITV na star Tv but the rest ni wale wale CCM tu, kama TBC na Cloud ndo sitaki hata kuwasikia, lakin mwisho wa CCM unakuja cjui vitaelekea wap.... baadhi ya Presenters ni waganga njaa tu, mtu kama kibonde unategemea atakuwa na mawazo ya kujitegemea na kuyapresent kwa watazamaji zaid ya kuendeshwa kwa remote, mm nadhan kibonde ndo presenter mjinga kuliko wote Tanzania
 
Na mimi kwa hili nina kusema yani kwa mtazamo wangu clouds ni wabaguzi, wanasobo za kimasilahi we angalia 2 ukishakuwa supa staa ndo wanakuita wanakuhoji, mbali kibonge c mtangazaj ni mccm njaa anashindwa kuficha hisia zake juu ya ccm.ofcourse kipindi kzr kwangu ni sport extra na extra extra large na jahaz enzi za gadner lakn kibonde anaendekeza 2 njaa, chuki na siasa . Kuna kipindindi kibonde kaangilia mgomo vyuo vikukuu wkt yeye 4m4 aliungaunga,ndo mana sugu akawa2kana. Me c wakubal kbs. N
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom