TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

Sometimes nikisoma maoni yawachangiaji, nasikitika kuwa tunajadili watu badala ya facts. Mtoa hoja amezungumza kuhusu coverage, vyombo vya habari vya umma havipashwi kumpendelea mgombea mmoja na kumkandamiza mwingine, hilo halikubaliki, hata makubaliano yaliyosainiwa na vyama vya siasa na tume ya uchaguzi yanasisitiza fairness kwenye coverage ya mikutano ya kampeni.

TBC1 watajitetea kuwa kampeni hazijaanza lakini hata JK alivyochukua fomu na kurudisha alipewa coverage kubwa sana, hivyo hawawezi kukuwepa lawama. Lakini na sisi wana JF, tusiderail mada kwa sababu mchangiaji mmoja ametoa uchafu, cha misngi ni kutokucoment comment ambayo si ya msingi katika mada husika. Kama tukishindwa kufanya hivyo utaonekana kama watu wenye simple mind wanadiscuss people
 
Watu wengine wanashangaza sana. Wenzio wanaongelea TBC1 ambayo watanzania wote wanalipia kodi na hivyo Dr Slaa kama mlipa kodi na kama Mtanzania anasitahili haki sawa kama Kikwete, sijui unaongea kitu gani. Mkiambiwa mmesomea shule za kata za Kikwete mtalalamika. Hoja yako dhaifu sana kupita maelezo na hapa JF ni nguvu ya hoja inatakiwa siyo kuleta vioja.

Nimekupa senksi mkuu. Mbaya zaidi kama Dk Slaa angehutubia watu kiduchu ungeiona kavereji yao. Au kama wakiamua kupika ujinga kama walivyoupika wakati wa mazishi ya Wangwe(RIP) wangetoa kavereji ndeeeeeeeeeefu! Mi kuna siku lazima nitatenda dhambi ya KUUA!
 
yaani na wewe utaajita ni katu watu wanaofikiri na kujua mambo kwa uchambuzi yakinifu??? Wajua jinsi gani jf inavyoendeshwa na ni jinsi gani tbc inavyoendeshwa??? Hopeless kabisa.

Tbc1 nilianza kuitilia shaka pale tu ilipotoa air time kwa el katika harakati za kuanza kujisafisha tena bila kuwepo kwa 2nd part (mwakyembe and others). Maswali aliyoulizwa yalikua ni kuonyesha umuhimu wa el kipindi akiwa pm bila swala la msingi kuongelewa kwa undani wake zaidi ya kuonyesha alionewa na hata kama atapewa nafasi ile leo atarudia yale yale na mtu aliefichua yote yale (slaa) anabaniwa kwa sababu tu kuna wenye maamuzi na tbc1 zaidi yetu sisi tunakatwa kodi kwa ajili ya kuendesha tbc1.

Hakuna lenye mwanzo likosalo mwisho. Ipo siku yao.....

tunapoteza muda kuijadili tbc. Tumshauri mbowe na ndesa waanzishe "tanzania daima broadcasting cooperation (tdbc)
 
Mwanakijiji haya basi na tusubiri wakati wa kampeni Kama kutakuwa mabadiliko

tunaweza kuambiwa slots zote zimeshanunuliwa na ccm na taarifa ya habari haiwezi kuzungumzia kampeni tu!

Usije kushangaa ukikuta kampeni za upinzani zinapewa sekunde 30 kwa wote
 
acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!

nyie ccm leteni covergae yenu hapa muone kama haita wekwa.sababu kubw ni kwamba maovu yenu makubwa mliowafanyia watanzania ndio inawafanya mkimbie mpaka midahalo.
 
Eee ndio politics za bongo na vyombo vya dola vya umma
tutegemee mengi sana kuwaminya wapinzani wa siasa za
bongo.
 
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya Saa mbili.
Nilibahatika kuona sehemu ya hutuba ya Dr. Slaa Jangwani.
Cha ajabu ni kwamba, Niliona Sura ya Dr. slaa Peke yake!!
Hivi mliona mkioenyesha ule umati ulifurika pale Jangwani ndio mtampa ujiko?
Too sad!
 
Wanaogopa coz most people in TZ are BENDERA FATA UPEPO; so if they show us the audience,its too risky for CCM coz watu wanaweza badilisha mwelekeo na kuwa CHADEMA., lakini wakificha hilo nyomi inakuwa haina side effects saana.

Ila all in all kushangiliwa saana na umati doesnt mean kwamba Slaa will be the President of URT ,kumbuka hata Mrema 1995 alitisha sana kwa umati wa watu, mwisho wa siku akatoswa kwenye kura,what i wanted to say ni kwamba dont be ifluenced by media Propaganda na kumbuka TBC ni CCM yenyewe so what do you expect from them??

Kama Slaa angekuwa na watu kumi mkutanoni, wangeonyesha ili kuprove kuwa hakubaliki,lakini kwa kuwa anafunika kwa thousands of supporters wanaogopa kuonyesha...Go Dr Slaa,aka Obama wa TZ!:love:
 
Tatizo lawezekana lisiwe la TBC... Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasema hivi (msisitizo wangu):

Lakin MM,
Mbona wakati Muungwana anachukua form hali haikuwa hivyo,au unataka kutuaminisha kuwa hiyo sheria Muungwana yuko juu yake...
CCJ Haipo bana,join us tafadhali,Mpendazoea amekuonedsha njia
 
TBC pale taaluma ya habari imeachwa na kinachofanywa ni ushabiki wa siasa! Who does not know ya kwamba Tido alipewa kazi pale kimagumashi! Hivi kuna shirika gani la umma ambalo DG ni ex-form four kama si TBC peke yake?

Na naambiwa ya kwamba huyu bwana pamoja na division three ya form four anapata mshahara ambao ni mara tatu ya university Professor pamoja na usafiri, nyumba na wahudumu wa nyumbani vyote ambavyo a University Professor of Tanzania will die without being offered! It is time we 'poor' Tanzanians work up and stand for our rights.

TBC inaendeshwa kwa kodi za wananchi wa Taifa hili lakini kila wanachotuonyesha kimechakachuliwa, are they still credible enough to be financed by our tax payers' moneys? Ama CCM iwagharamie maana pale weledi hakuna bali ushabiki kwa CCM! Shame on them........
 
kwani tbc mali ya nani? Afu jua kutofautisha jf ni mtu unajiunga kama ni coverage ya chadema well and good maana ccm au cuf hawajakatazwa lakini tbc watu tunakatwa kodi zetu, bila kujali ni mwanachama wa chama gani! Kama tbc ni tawi la uhuru media itangazwe na ruzuku isitishwe
kulinganisha tbc na jf ni kutaka tu kuongea!

Kwakusherehesha, JF na Blog za jamii, magazeti binafsi ni vyombo private. TBC ni chombo cha umma, nikimaanisha Tido na wafanyakazi wake pamoja na mitambo ni mali ya umma inayoendeshwa na kodi ya Nguruvi3, Mahesabu, Slaa, Kikwete,Mutamwegwa, Lipumba, MF, MMKJ n.k
matumizi yake yazingatie ''equal opportunity''. Mkuu Mahesabu liombe radhi baraza kwa kuchezesha kikosi chako cha pili! duh
 
wanaogopa coz most peolple in TZ are BENDERA FATA UPEPO;so if they show us the audience,its too risky for CCM coz watu wanaweza badilisha mwelekeo na kuwa CHADEMA;lakini wakificha hilo nyomi inakuwa haina side effects saana.Ila all in all kushangiliwa saana na umati doesnt mean kwamba Slaa will be the President of URT,kumbuka hata Mrema 1995 alitisha sana kwa umati wa watu,mwisho wa siku akatoswa kwenye kura,what i wanted to say ni kwamba dont be ifluenced by media Propaganda na kumbuka TBC ni CCM yenyewe so what do you expect from them??kama Slaa angekuwa na watu kumi mkutanoni, wangeonyesha ili kuprove kuwa hakubaliki,lakini kwa kuwa anafunika kwa thousands of supporters wanaogopa kuonyesha...Go Dr Slaa,aka Obama wa TZ!:love:

So what is your stand?....umetoa very contradicting statements...in blue YES...in red NO....:mad2:
 
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya Saa mbili.
Nilibahatika kuona sehemu ya hutuba ya Dr. Slaa Jangwani.
Cha ajabu ni kwamba, Niliona Sura ya Dr. slaa Peke yake!!
Hivi mliona mkioenyesha ule umati ulifurika pale Jangwani ndio mtampa ujiko?
Too sad!
Mlachake, TBC is a problem to Tanzania development, democracy and even social matters

Kuna deliverate move ya kumzima slaa, but Tido and his team need to ask one big question.... FOR HOW LONG WILL THEY BE ABLE TO DENY TANZANIANS RIGHTS ZAO ZA KUPATA TAARIFA????

tido should understand that he is not going to live forever, and he may not even stay at TBC for rest of his life, kama alivyokuja ndivyo anavyoweza kuondoka...

Namsikitikia yeye na familia yake kwani dhambi ya kumnyima maskini huacha laana
 
nadhani haya ni marudio ya thread zinazofanana kila siku, Hila na njama za TBC na Daily Newz zinajulikana na zimeshaelezwa kwa kirefu tu humu,

cha muhimu ni kutafuta alternative/substitute ya media kama Slaa hapati muda wa kutosha au habari yake inaonyeshwa kivingine, basi kampeni ya Nyumba kwa nyumba na mitandao mingine iwe wazi, pia Chadema wajaribu kununua Airtime angalau ya nusu saa kwenye TV zote na wapeleke video zao zilizoeditiwa kwa kampeni zaidi
 
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya Saa mbili.
Nilibahatika kuona sehemu ya hutuba ya Dr. Slaa Jangwani.
Cha ajabu ni kwamba, Niliona Sura ya Dr. slaa Peke yake!!
Hivi mliona mkioenyesha ule umati ulifurika pale Jangwani ndio mtampa ujiko?
Too sad!


Mkuu, unavyosema ni sahihi kabisa, katika taarifa mbalimbali za habari, unakuta habari za CCM ni mpaka 3 na tena zinaelezewa kwa kirefu, lakini cha kushangaza habari za vyama vingine, mfano katika taarifa hiyo ya habari kulikuwa na habari za CHADEMA esp mkutano wa Raisi wa awamu ya 5 Mh. Dr. W. Slaa na habari za CUF.

Cha kushangaza ni kwamba habari zote mbili zilielezewa kwa kifupi sana na tena mara nyingine mtangazaji anasoma tu hivyo unaona picha tu.


Kwa kweli inakera sana, TBC mjirekebishe!!!
 
Print media ya Tanzania inafanya vizuri zaidi kuelekea uchaguzi Oct. 2010. Radio na hasa TV bado kabisa. Mnakumbuka mkutano mkuu wa CCM ulirushwa "live" na TV karibu zote kubwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom