Tbc yazima satellite international

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Watanzania waishio nje ya nchi wametoa malalamiko yao kwa uendeshaji wa kibabe wa Tbc kuzima matangazo yao ambayo walikuwa wanayapata kwa njia ya Satelite
Tbc imekuwa kama ni Shirika la ccm kwa kuficha maovu yanayofanywa na ccm na Wabunge wao hasa upuuzi mzima unaondelea Bungeni na kutazamwa na Watanzania waishio nje ya nchi
Chadema tunaomba mchukue nchi mfungulie matangazo ta television yetu yatazamwe na Watanzania waishio nje ya taifa letu
tabia ya ubinafsi na chuki ya serikali hii ya waovu ina mwisho wake
 
Toka yule mshana aingie pale nikajua tu sasa ni km redio Uhru, hakuna lolote la maana TBC sasa hivi
 
Ndo mana Tido aliondolewa pale alikua muwazi na mpenda haki sasa wamemuweka mtu wao kaaaazi kweliweli
 
Back
Top Bottom