TBC yatoa tamko: Hatujui na kurusha matangazo live online (streaming)

chademaistheway

Senior Member
Aug 18, 2010
100
86
Hivi kuna mtu kamsikia huyu afisa wa TBC kwenye mahojiano ya redio akimjibu muuliza swali kwa nini:

1. Televisheni ya TAifa haiko Clear kama CNN, NTV, AL JAZEERA etc?

2. Kwa nini Tlevisheni ya Taifa haifanyi live stream kama tv za Kenya na kwingineko


Majibu kaambiwa kuwa hatujui na hatuna uwezo huo

Hivi jamani how hard is it kufanya LIVE STREAM au kupitia YOUTUBE au website ya TBC?

Tazama wenzetu Kenya...

live | NTV

Watch CitizenTV Live! - Citizen TV - Kenya

KENYA BROADCASTING CORPORATION - live streaming video powered by Livestream

https://www.standardmedia.co.ke/ktn/live

hivi inawezekana ikawa tulifanya makosa kumfukuza kazi TODO MHANDO?

tazama AIBU YA NCHI YETU MIAKA 50 BAADA YA UHURU:

Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)
 
Kwani hii si ndo mnaisemaga ni TBCCM? Hayo mengine mnayoulizia ya nini tena?
 
Mi nilidhani wamegoma kurusha matangazo ya bunge kumbe ni mambo ya kiifundi. Hayo yalikuwa ya mhando tu. isitoshe ni ccmtbc so ni kaawaida tu kwa sisi wahaya tunasema bora liende
 
Watamkumbuka TIDO Mhando


Utashangaa viongozi wanaposimama majukwaani na kusema wanailetea nchi maendeleo, wakati wanajua fika kuwa wabunifu na wasema ukweli hawatakiwi katika nchi hii
 
Back
Top Bottom