TBC yakacha kuonesha uzinduzi wa CCM!!!!?????

bmp

Member
Jan 6, 2011
23
2
Wadau,

Inaelekea uzinduzi wa kampeni za Arumeru in aibu maana TBC1 haijaipa coverage yoyote, habari za nymbani zimeisha sasa ni habari za kimataifa!!!
 
Ajabu ya Dunia TBC wamerudia habari za ndani kwa kuchomeka habari ya arumeru wakimuonyesha Mkapa akikanusha madai yaliyotolewa humu jamvini kuwa anamashamba aliyoyapora kwa wananchi huko arumeru taarifa hiyo imechomekwa baada ya kusomwa taarifa za habari za kimataifa TBC kumbe magamba wanasoma jamiiforams watakoma mwaka huu wamezoea kuzurumu wananchi.
 
Nadhani walichelewa kuipata taarifa ile lakini imesomwa. Kitu nilichoshangaa ni Mkapa kukanusha madai ya ufisadi wa kumiliki ardhi na Sioi kupewa coverage ndoto tena akiwa anaonekana hajiamini kabisa.
 
piche zenyewe walizoonyesha sijui wamezitoa wapi kuziangalia macho yanauma nimeangalia mara mbilimbili sijapata jibu.!
 
waandishi wao wa Arusha vilaza Leonard Manga na mwanadada seche kongola walikuwa wanaandaa kipindi cha "BANGO" teh teh
 
Wadau,

Inaelekea uzinduzi wa kampeni za Arumeru in aibu maana TBC1 haijaipa coverage yoyote, habari za nymbani zimeisha sasa ni habari za kimataifa!!!

Sikiliza redio WAPO FM ndo ujue kuwa CCM ni noma, pamoja na CHADEMA kuwepo na magari yao kusumbua bado ilikuwa noma.
 
CDM bana TBC wakionyesha mnasema wanatumika wasipoonyesha wamekacha kulalamika ndiyo jadi yenu.
 
Sometimes mashabiki wenzangu wa CHADEMA huwa ni kero. Jaribuni kuwa reasonable. Yaani hata mazuri kwenu mabaya. WHY??????????????????? Mnapotosha sana wakati mwingine. Semeni kile kitu amabcho mnajua ni kweli kimetokea sio kuongea uongo mpaka wenzenu tunasutwa mitaani kwa sababu mara msem hakukuwa na watu na sisi tunaamini hivyo ukija kuangalia news unakuta umati wa watu. SIPENDI MNIPOTOSHE.
 
well said mkuu, walitupa matumain kuwa ccm hawakuwa na watu kabisa kumbe ni uongo, mara TBC imegoma kutangaza kumbe imetangaza, jaman chadema kwenye ukweli tuseme ukweli kuwa mambo ni magumu ili tutafute njia nyingine.
Tukumbuke sio kila siku sisi tutakua sawa, tubadilike na tukubali ushindani na pia kukosolewa
 
mtainama kama igunga, kwani kujaa mkutanoni na kuonesha vidole viwili ndo nn? Ushindi ni sanduku la kura,, hv hutambui kuwa wachezaji 11 uwanjani wanaweza kuzima shangwe za umati wa washabiki 67,000 kwa goli moja? Mwenye akili atagundua ninasema nn.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom