TBC yadai uchaguzi wa UWT ulikua wa amani

Access Denied

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
655
209
TBC wamepotesha umma kwa kutangaza kua uchaguzi wa UWT ulikua wa amani ile hali ITV na StarTV wakiripoti vurugu na malambano makubwa kati ya wagombea hao. Kwa mwendo huu wa upoteshaji na kuendelea kukumbatia mapungufu ya ccm ni kuendelea kupoteza sifa na uwezo wa kutoa taarifa za kweli kwa jamii ikiwa kama chombo cha habari cha taifa.
 
hiyo tv bado ipo tu? mm toka TIDO wamfukuze nikaacha kuingalia na nimetoa onyo kwa familia yangu nikikuta mtu ametune TBCccm anakula BAN
 
TBC wamepotesha umma kwa kutangaza kua uchaguzi wa UWT ulikua wa amani ile hali ITV na StarTV wakiripoti vurugu na malambano makubwa kati ya wagombea hao. Kwa mwendo huu wa upoteshaji na kuendelea kukumbatia mapungufu ya ccm ni kuendelea kupoteza sifa na uwezo wa kutoa taarifa za kweli kwa jamii ikiwa kama chombo cha habari cha taifa.

hata kama ndo kufunika kombe hawa wamezidi jamani heee!!
 
Tbc imekuwa chombo cha propaganda za ccm kwa gharama za walipa kodi wa vyama vyote na wasio na vyama.
 
Back
Top Bottom