Tbc ya anza ubaguzi arumeru.

Mchome ray

Member
Feb 22, 2012
13
1
Nimekuwa nkifualia sana taarifa za habari za TBC(usiku) na nkagundugua kuwa znapendelea CCM.tr 15 na 16 leo katka taarifa ya habar hawaja onyesha kampen za chadema,hii haingii akilini kwani waandishi wameweka kambi ktka jmbo zma,au ndo wanaogopa kung'olewa kama Tido mhando alvyo kataa kustisha mchakato majimboni?kwan ccm wanatabia y watu kupita na uchaguz nna maana uchaguz ukiisha na wewe kazi kwisha.
 
Naunga mkono hoja! tbc1 inaonekana dhahiri kuwa na mlengo wa kiccm. ni chombo ambacho ni biased sana. Tulidhani kwa kuwa ni chombo cha umma, wataendesha kwa maslahi ya wananchi wote, lkn sasa inaonekana ni kama ni tv ya magamba. Mjirekebishe!!
 
na siku waliyoonesha kampeni ya CDM ni pale tu mgombea Nasari alipofanyiwa hujuma kwa kupangiwa mkutano saa 4-6 mchana ktk viwanj a vya shule ya msingi wakati wanafunzi wakiwa wanaendelea na masomo.. kwa busara za CDM na mgombea wake wakaamua kutofanya mkutano wa hadhara... yaani TBCc-magamba wakaona ndo habari ya kuitangaza, na wameisusia mikutano mingine yote... na kuirusha ile ya SIYOI Shoga tu... hawa TBCc-magamba ni wa****e tu, hakuna lolote..
 
Ninavyojua mimi ni kwamba hii TBC ni moja ya Jumuia ya CCM, tofauti ni kwamba jumuia hii inatumia kodi za watanzania.
 
na siku waliyoonesha kampeni ya cdm ni pale tu mgombea nasari alipofanyiwa hujuma kwa kupangiwa mkutano saa 4-6 mchana ktk viwanj a vya shule ya msingi wakati wanafunzi wakiwa wanaendelea na masomo.. Kwa busara za cdm na mgombea wake wakaamua kutofanya mkutano wa hadhara... Yaani tbcc-magamba wakaona ndo habari ya kuitangaza, na wameisusia mikutano mingine yote... Na kuirusha ile ya siyoi shoga tu... Hawa tbcc-magamba ni wa****e tu, hakuna lolote..

hivi si ni hapa hapa jf tulisoma jana kuwa chadema wamesitisha kampeni ili kumzika baba yake mkubwa nassari. Sasa tbc wangetunga mkutano? Waunganishe unganishe picha au watoe mazishi live?
 
Muwe mna suggest kabisa, cku cdm tukiingia magogon wafanyakaz waliopo wa tbc tutawafanya nn?
 
Muwe mna suggest kabisa, cku cdm tukiingia magogon wafanyakaz waliopo wa tbc tutawafanya nn?

Sina shaka,wengi mnakumbuka,ile siku Rais Mwai Kibaki akiapishwa kuwa Rais wa Kenya awamu ya kwanza,wafanyakazi wa KBC,walitimuliwa uwanjani,kuripoti sherehe hiyo,kisa,upendeleo wakati wa kampeni!
 
kwa kweli TBC tv, ni wahuni sana ni kama hawajui kuwa hicho cha umma? Wana upendeleo wa kitoto sana.
 
kiwewe, haitakiwi iwe hivyo tbc ni chombo cha umma wa watanzania. tunalipa kodi ili tuweze kukiendesha. sasa kikishaanza kufuata mrengo wa kichama -sijui! it's something very regrettable. nafikiri ifike mahala habari za tbc sisi watanzaania tuzimoderate kwa kulazimisha kupitishwa sheria
 
Lakini tusiwalaumu sana, nadhani tuangalie kwanza mfumo wa ajira zao hasa za juu zinapatikana vipi, na je wako huru kiasi gani? Na wako chini ya nani? Juu kabisa yupo waziri ambaye nimagamba na mkuu wa taasisi pia anateuliwa kutokea magogoni hivyo kwa hali hiyo hata ofisi ya pale Lumumba inaweza kutoa mapendekezo tu kuhusu ni namna gani waendeshe shughuli zao hasa wakati huu wa kampeni na ndio hasa yaliyomshinda Tidoo. Waacheni watende wanayotenda ili ajira zao zidumu maana wakijifanya wapigania haki watafutwa kazi na ajira ni ngumu sana kwa sasa. Imani yangu iko kwa wana Arumeru wenyewe ambao ndio watavote kwa utashi na maamuzi yao na ninaamini TBC watamtangaza tu Nassar hata kwa maneno tu bila picha.
 
Back
Top Bottom