TBC wana potosha ukweli wana rusha matangazo ya uvunjiifu wa amani wa CHADEMA na nchi kutotawalika

Wasameheni bure wamedata, mc4 imewachanganya ile mbaya
 
Angalia tbc wanarusha kampeni za mwaka 2010 za Arusha na kauli za kuwa waliapa kuwa nchi haitatswalika na vurugu wakati wa sensa za makazi na wakati walishakatazwa



unachokibisha hapo ni kipi ? kitu kiko wazi kabisa na cdm wanajulikana dhamira yao ni gubu lakushindwa uchaguzi na kuwa na tamaa ya madaraka. Ngoja ni waambie na waajiri wangu wadhamini kabisa na hicho kipindi kwani kinawatanabahisha wananchi juu ya uovu na dhihaka ya cdm kwa wananchi wa tz
 
Kitendo pekee cha kuandaa na kurusha hewani kipindi hiki cha propaganda ni ishara tosha kuwa wana hofu na impact ya kifo cha Mwangosi na mfululizo wa matukio yaliyopelekea kifo hicho, nguvu ya umma. Soon hawatakuwa na muda wa kutengeneza vipindi vingine bali watakuwa full time occupied na kuandaa vipindi vya propaganda. M4C ongezeni mwendo.
 
Angalia tbc wanarusha kampeni za mwaka 2010 za Arusha na kauli za kuwa waliapa kuwa nchi haitatswalika na vurugu wakati wa sensa za makazi na wakati walishakatazwa

Wamerekodi hicho kipindi na kuanza kukirusha jana channel 10. Mtangazaji aliyeandaa kipindi ni wa Tbc anaitwa Jafari,wameanza kurusha channel 10 ili isijulikane km wao ndio wamekiandaa .Ni walewale
 
Unajua CCM lazima wapiganie kuzuia hii M4C sababu wameshazoea kuwadanganya wananchi mambo mengi wakijua hawana uelewa. Sasa akitokea mtu anataka kuwatoa tongotongo wee lazima kiwake. CCM mpaka kuachia nchi hii tutakufa wengi sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom