TBC wana potosha ukweli wana rusha matangazo ya uvunjiifu wa amani wa CHADEMA na nchi kutotawalika

Me naona hii inaendana na Kauli ya Tendwa ya kutaka kukifuta chama...kwan wanachofanya n kupandikiza chuki kwa wananchi ili kuichikia CDM, kumbuka tume itakuja na majibu ya kua CDM inahucka na kifo, so ataifuta CDM na itakua easy bcoz tiar wananchi watakua wameshapokea propaganda wanazorusha saiz....
 
Muda huu kuna kipindi maalumu kinachorushwa na kituo cha habari cha Taifa yaani TBC1 juu ya vurugu zilizosababishwa na polisi pale Morogoro na Iringa. Cha kushangaza, hiki kituo kimeanza majungu kwa kuweka baadhi ya matukio ambayo Dr Slaa alitamka kuwa kwasababu ya uonevu wa CCM na Serikali yake nchi haitatawalika. Cha kushangaza TBC1 wanasema Dr Slaa alitoa kauli za kichochezi na kuvuruga amani.

MY TAKE:
Hivi ni lini TBC1 imeanza kufanya kazi za mahakama? TBC1 ni janga kwa Taifa.

Nchi hii haitawiliki hata mtoto wa miaka miwili analijua hilo. Mauwaji, Migomo, utesaji, ujambazi, sasa haya ni matokeo ya nini? Tuache kuwa vilaza. CCM imeshindwa na ilishashindwa tangu kitambo. Ukishasimamisha viongozi DHAIFU unategemea nchi itawalike?
Yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania? Iko wapi nguvu mpya na ari mpya?

Kama unatumia raslimali za taifa kuwaulia raia ndiyo uwaambie wewe ni mtawala bora? Je ari mpya na nguvu mpya ni kusafiri angani kwenda kushangaa nyanya na mananasi kila siku huku ukiwaacha raia wakifyatuliwa na mabomu yaliyonunuliwa kwa kodi zao? Jamani Tanzania haitawaliki na hili Dr. Slaa aliliona hili tangu mwanzo. Ni kwa nini tunashindwa kumshukuru?
Ni nani anatetea wanyonge Tanzanaia? Ni Kikwete au Dr. Slaa?

Ujinga ulishaondoka nchini mwetu hawa vilaza wachache waliotubakia na viTV vyao ni wa kuulia mbali. Unatetea CCM? Unatetea ujinga? Unatetea wauwaji? Unatetea wezi wa mali za umma? You must be crezy!
 
Kimsingi TBC1 wanachofanya ni sahihi ndiyo halisi ya Chadema wanaongoza kwa matukio ya mauwaji ni sifa yao.

Unafanana na jina lalo.,tangu lini Mchuzi wa Bata ukawa na siha?Unasupport support madudu ya "Nyinyiemu" na udhaifu wake.,kosa la CHADEMA liko wapi?Lini wamewah kukutwa na bastola kma akina kigwangala na bashe na wengne wengi?
 
Angalieni sasa hivi Channel Ten wanaonyesha Nchimbi anasema wanaonyesha Dr Slaa anasema nchi haitatawalika kwa hiyo wanamchonganisha Dr Slaa, Chadema na wananchi hivi huko serikalini hakuna thinkers wakionyesha hii propaganda sasa itasaidia kweli itafuta simanzi ya wananchi polisi jinsi walivyo ua wanachi Arusha Mwanza Songea Mbeya Tarime Morogoro na Iringa <br>

Nimeamini safari hii hawana pa kutokea limewafika wanajidharilisha zaidi<br>Yaani swala la Nyololo nalo ni la kuifanyia propaganda yaani wananchi wote waliotoa ushuhuda na waandishi wa habari walioshuhudia <br>Naapa mpaka utawala huu umetoka sitamuheshimu kiongozi yeyote wa ngazi yeyote hatuna serikali ila tuna watu makanjanja
 
Angalia tbc wanarusha kampeni za mwaka 2010 za Arusha na kauli za kuwa waliapa kuwa nchi haitatswalika na vurugu wakati wa sensa za makazi na wakati walishakatazwa

TBC inaelekea kuwa Radio Milles Collines ya Rwanda wakati ule ilipochagiza mauaji ya halaiki.

Kwa nini pesa ya walipa kodi itumike kugawa wananchi? Wakati huu mgumu ingebidi TBC iwe mstari wa mbele kuonesha WaTZ tunavyoweza kuwa kitu kimoja. Ingebidi waweke msisitizo kwenye baraka tulizonazo kama taifa (mbuga, madini, bahari n.k.).

Hili la kusema kuwa waTZ wenye itikadi fulani ni watu wabaya isingetakiwa hata iwe kwenye agenda za hichi chombo
 
waandaji wa vipindi vya uchochezi niwakuogopa kama ukoma. haiingii akilini kama tbc-chombo cha umma badala ya kukemea mauaji yaliyowaziwazi kinatumika kufanya propaganda. wapenda amani wapenda amani wa nchi tusikae kimya! otherwise things area getting out of our hands.
 
Nilitaka kuangalia lakini haikupita hata dakika nikabadili stesheni, maana nilihisi nitapasua kitivi changu, laana na iwe juu yao
 
Kuna baadhi ya wahandishi wa habari wakifa tunamwomba Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi kama Mwangosi ila kuna wengine wakifa tunamwomba Mungu awalaze mahali stahiki.
 
nchimbi anapotoshwa na kutumiwa vibaya.
Nchi hii wasio na pesa na uwezo wataumizwa sana.

Naomba nikusahihishe, Nchimbi hapotoshwi na mtu. Amepotoka kwa makusudi. Anasema yeye ndio waziri bora wa mambo ya ndani, kama vile kabla yake wizara haikuwa na waziri. Anatumia vibaya madaraka yake, kwa hakika mpango wa ccm ni kuivuruga amani ya nchi na kuisingizia CDM.

Strategists muwe makini sana katika kuelimisha umma juu ya propaganda hizi. CCM inakufa, hilo ni hakika. Mapambano yanaendelea.
 
Hizo kauli za Dr Slaa, na Ndensamburo zitabakia kama kumbukumbuku muhimu kwa vizazi vyetu vijanvyo.
 
KBC was doing the same to daniel moi kumsifia kila mara
alipopigwa chini na kibaki KBC ilifumuliwa sasa ni chombo huru na makini
chadema ikishika dola inabidi ianze kuifumua tbc ili kiwe chombo kisichopendelea
shame upon them.
hakuna mtu wa kasulu atununulie radi ya sh 20 apige kimtambo chao sioni umuhimu wake
wanachezea kodi zetu
 
Back
Top Bottom