TBC wana camera ngapi uwanjani leo?

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Sijafurahishwa na jinsi vyombo vyetu vya habari vinavyochukua matukio uwanjani hasa TBC maana ndiyo ninayoangalia hivi sasa.

Wakati magari ya kivita yakipita sambamba na ndege za kivita, wapiga picha walishindwa kuchukua matukio yote kwa pamoja wakaishia kuchukua picha milingoti ya benbera. Iliwawia vigumu kuhamisha camera toka kwenye magari kwenda kwenye angani kwenye ndege . wakati wa huu wa halaiki naona kama robo tu ya wanahalaiki ndiyo inachukuliwa. This is shame!!!

Nahisi kuna camera mbili tu. Moja imeelekezwa uwanjani na nyingine jukwaa kuu kwa mzee wa kaya. Basi tungeazima za Super Sport walipo kwenye challenge cup angalau kwa hili tukio tu la leo.
 
Wanakamera zipatazo 6.ila hakuna control za camera...coz wapigaji nao wanashangaa tuu na kupiga soga....nashangaa kwanini wanashndwa kukontrol zote.maana hata hyo ya jukwaaa nayo wanamulika kwa jk peke yake na masela wake...mbili za uwanjani ndo wanapotezana kbs.wote wanakaa sehemu moja.juu ya uwanja nae cjui anafanya nini...cjui kamera yake...
 
Kama ulikua ktk mawazo yangu yani nilitaka kupost hii kitu....ni aibu sana kwa kweli
 
Nakupongeza uyeanzisha thread hii. Nilipoingia jamiiforums leo nilikuwa naingia kuanzisha thread kuhusu ubovu wa upigaji picha na zile sauti za watu wakizungumza wakati watangazo yanaendelea tbc. Hakuna haja ya kutoa maelezo zaidi ya kusema upigaji picha ni hafifu mno na sauti za mazungumzo yasiyohusika. Kitu kingine ni ukatikaji wa matangazo hayo mwanzoni. Umetokea sana.
 
TBC eke yake ndio yenye camera uwanjani na stesheni zingine zote zimechukua kwake. so tukiona uozo tunauona kwenye stesheni zote!
 
Camera imebaki moja tu, zingine zote zilitoweka ktk mazingira ya kutatanisha punde baada ya Tido Muhando kufukuzwa.
 
Nakupongeza uyeanzisha thread hii. Nilipoingia jamiiforums leo nilikuwa naingia kuanzisha thread kuhusu ubovu wa upigaji picha na zile sauti za watu wakizungumza wakati watangazo yanaendelea tbc. Hakuna haja ya kutoa maelezo zaidi ya kusema upigaji picha ni hafifu mno na sauti za mazungumzo yasiyohusika. Kitu kingine ni ukatikaji wa matangazo hayo mwanzoni. Umetokea sana.
Kuna jamaa alitukana "ms e n' ge" bila kijua kama anasikika live. Yaani sijui msimamizi wa matangazo anafanya kazi gani humu ndani.
 
Inaonekana imetikera wengi. Wale halaiki waumba maumbo wao wakashindwa kutuonyesha kutokea juu. Pumbafu sana. Kamera mda mwingi zilitegeshwa mahali pamoja halafu wao wakaendelea na soga zao. Umbea tu.
 
Back
Top Bottom