TBC Wamkatia Nape hewani wakati akitoa salam za mkesha

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
NAPE NNAUYE amesema aliwahi kuwa mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za Injili kabla ya kujiunga na siasa.
Akitoa salam katika mkesha wa mwaka mpya uwanja wa taifa. Nape amedai kuwa anapata ujasiri wa kupambana na kile alichokiita ufisadi kutokana na imani yake kwa Yesu.
Hata hivyo TBC wanaorusha live tamasha hilo. Walimzimia mbali Nape wakati anaongea na kumrusha mkurugenzi wao Mshana akiwa studio.
 
Du! Mapemaaa...Tupumzike kidogo, yawezekana ratiba ziliingiliana.
 
Back
Top Bottom