Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwenu wenzangu! Nimeshindwa kuvumilia hili. Kila wakati ninapoangali taarifa ya habari kama kosa halitatokea kwa mtangazaji kutoa habari zisizopaswa basi anakosea kusoma. Na zaidi ni kutoa coverage ndefu ya ccm as if ni media yake. Aaghhrr!
Tbc ni hiyo rangi ya kijani unayotumiaHivi TBc ndiyo nchi gani au kitu gani? mwenzenu hata sijui!!!
Ulizeni kama wanapewa hiyo ruzuku mnayolalamikia, wangekuwa wanapewa vizuri hayo makosa yasingeonekama kwasabau wangekuwa na vifaa vya kisasa. Be on side of tbc ujue matatizo yao ndipo uweze kutoa shutuma. Lakini kama nhujui tatizo lao basi usitoe lawama.
Mbowe alinikataza kuangalia
Habari zote za muhimu wameskip wanatangaza mambo ya wagawa rushwa wa ccm wakati kuna watu walisaini mikataba bila kuisoma huko!
Kwanza kutumia kumbi za chuo cha mipango wanalipia kweli hawa? na je cdm wanaweza kupewa hata kwa kulipia?
Taarifa zingine zinasema Heche amewakoromea ccm huko Njombe kwa kutumia magari ya serikali kwenye kampeni, hayo yote wanaona sio news!
Na je M4C inayoendelea huko mikoani haitakiwi kuripotiwa?
TV ya wajinga hii!
Naomba mungu kilasiku aje atokee mtu fulani kichaa aingie mule kwenye mitambo ya TIBIccm halafu akae na kitabu cha quran tukufu. halafu then mlinzi hamkamate na kwa bahati nzuri awe mkristo , akichane na kukidharirisha kitabu hicho.then mtu huyo baada ya kuachiwa aende mbagala akawaeleze tukio hilo. then waislamu mzuka uwapande na waende kwenye kituo hicho wakichome chote kudadeki, MBONA NITAMSHUKURU MUNGU!!
Nimesoma comments za watu wote hapa nimeona nami niseme kidogo kuhusu uwezo wenu mdogo wa kufikiri ninyi wote mliotoa maoni. Kwanza hamkumuelewa mtoa mada arushaone ambaye kifupi hakueleza nini kinamkera zaidi ya kuonyesha hapendi taarifa za ccm kupewa nafasi. Hii nayo ni tatizo. Mfano jk akisema jambo ukatangaza hata kama si mkutano wa ccm utachukia kwakuwa yeye ni wa ccm? Habari ngapi za ccm zimetangazwa hadi ufikie hitimisho la kusema tbc tv haina maana na ni aibu kwa shirika la umma? We sema kwamba unataka habari za cdm zitangazwe hata kama hazina habari mpya.
Kumbuka tbc ni chombo cha umma, hakipaswi kuingia katika malumbano ya siasa, siku chama chama chako kikishinda tbc itatangaza sana habari zake kwakuwa si tu ni chama tawala lakini pia kila kiongozi atakayesimama kutoa tamko ni mwanachama wa chama hicho kitakachounda serikali na ni lazima apate nafasi kwenye chombo cha umma.
Sasa tafakari wewe unayefagilia itv je ni kwa kiwango gani inatangaza habari zenye mrengo wa kitaifa?
Toa tuhuma zenye kueleweka kwa tbc na si kuituhumu kama haitangazi habari za cdm, utakuwa hautendi haki. Haya sasa wewe uliyetaja kwamba tbc ilipaswa kutangaza habari ya waziri kusaini mktaba bila kuusoma, je uliona tv ipi imetangaza? Usihoji kazi ya wanahabari kama wewe hufahamu misisngi ya habari inavyotakiwa kutangazwa.
Mimi nawashauri wanajamii tuwe makini kuunga mkno tuhuma za mtu bila kujua undani wake na pia sababu ya huyo myu kutoa tuhuma, je madai yake ni ya kweli? Na wewe umemuelewa? Kama hapa wengi hawakuelewa wameanza kueleza hisia zao za tangu tido. Sasa hii ndiyo sisi wahadhiri tunaita shalow knowledge which is very poison.