Tbc turudisheni Dodoma

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Wameacha kuripoti kinachojiri dodoma kwa ni zamu ya wabunge wa upinzani waanza kuchangia. hii ni nini jamani kwa chombo hiki kinachoendeshwa kwa kodi zetu?
 
tbc wanawashwa na kitu kny hoja za msing wanapeperusha stimu sana wanakata lkn kny taarifa mwanzo mwisho
 
inaniuma sana pindi kodi zetu sisi watanzania tusiokuwa na chama inavyotumika kwa manufaa ya chama kimoja oma chama kingine.ni vizuri viongozi wachache tuliowapa dhamana ya kusimamia nchi yetu wakajipanga ili kuendeleza inchi yetu biila kufuata mrengo wa chama chochote.ni vyema taasisi za nchi zisijihusishe na biashara au zisitumike kwa manufaa ya watu wengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom