TBC ovyoo!

sasa mkubwa siku zooooooote hizo hujajua tu.....he he he he we wa zamani kweli kweli.......
 
Tusiwalaumu sana TBC1 kwa vile maandamano yenyewe yalikuwa batili kwa mujibu wa jeshi la polisi. Sijui sheria inasemaje, mwandishi wa habari akidhuriwa katika mikusanyiko ambayo siyo halali na hasa ukizingatia vyama vya siasa vinakuwa na chuki binafsi na baadhi vya vyombo vinavyomilikiwa na Serikali na hivyo vinakuwa vinaogopa kuafanyia vurugu na mfano mzuri ni mkutano wa CDM pale jangwani mwaka 2010 ambapo Waandishi wa habari wa TBC1 walifanyiwa vurugu. Halafu jambo lingine Vyombo hivi vya habari vinakosa morari ya kuandika habari kutokana na ukweli kwamba vimekuwa vikitupiwa shutuma kuwa vinaipendelea serikali, sasa vinaona hakuna haja kabisa ya kuandika habari zao, jmbo ambalo binafsi naona viko sahihi kabisa. Huwezi kuvishtumu halafu ukataka viandike habari zako.

Sitaki kujihusisha na uwezo wako wa uchambuzi ila nakujulisha kuwa yule katibu wa CHADEMA Morogoro alipoachia ngazi habari ilitangazwa TBC kwa uzito mkubwa tu.
 
Wameajiriwa kwa mujibu wa sheria hata ukija wewe mkuu na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali hiyo mpya huna mamlaka ya kuwafuta kazi. Wanaogpoa kuambiwa wanapendelea Serikali so wanaona bora wapige kimya. Mimi nafikiri nia fundisho kwa asasi ambazo zinatangulisha hisia z kisiasa na kuanza kuvishutumu vyombo vya habari bila ya kuwa na ushahidi wa shutuma zao. TBC1 kamwe hawawezi kuwa na morari ya kuandika habri zaCDM kwa vile hata wakijitahidi vipi kuandika kwa ufasaha wataambiwa wanapendelea serikali.

Acha ushabiki usiokuwa na maana wewe! Hawana haki ya kukataa chochote wakati kula yao inatoka kwenye kodi zetu.

Anayeona hawezi kutangaza balanced news aondoke akangoje CCM waanzishe TV yao Binafsi inayogharamiwa na ada za Wanachama wao.

Hiyo inagharamiwa na Kodi zake kwa hiyo itake isitake ni lazima itangaze habari za vyama vyote kwa usawa sio kuogopa ogopa wanasiasa!
 
Tusipost vitu kwa interest zetu binafsi, TBC wamefanya mangapi mazuri, wameelimisha jamii mara ngapi, Tutafakari na tuchukue hatua. TBC ni chombo cha habari kama vyombo vingine na hakina upendeleo wowote. Let us talk the truth & abandon political propaganda.

TBC plus mahakama ya kisutu ni mihimiri ambako serikali upata pakujitetea kwasababu wauDHAIFU wao wakutaka kudeka mbele ya wananchi. TBC ni kama BUSHA WATANZANIA TUJELINYOE lisije likatuebisha.
 
Back
Top Bottom