Tbc ni ya taifa au ni ya ccm?

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Wana JF naomba mnifahamishe kuhusu TBC hasa hasa TBC1 kwani nashindwa kufahamu kuwa hii televisheni ni ya taifa au ni ya CCM? Habari zinazohusu CCM zinapewa kipaumbele na zinachukua muda mrefu sana katika taarifa ya habari ya TBC1. Kwa mfano kuhusu hotuba ya katibu mwenezi wa CCM Nape Nnauye akiwa Sumbawanga. Lakini mikutano ya CHADEMA hata haizungumziwi kwenye taarifa ya habari ya TBC1. Naombeni mnisaidie katika hili.
 
Hawa TBC ni wavinyu wa mawazo,wanatumia kodi za watanzania kwa kuonyesha habari za kipuuzi za CCM,muda si mrefu hili shilika litafirisika mara mbili na kufa,kufa kwake itakuwa furaha na farijiko kwa watanzania.WATANZANIA WAACHE KUANGGALIA TBC
 
Na wewe kwa nini unaangalia hiyo TV, angalia tv nyingine ukishindwa njoo jamvini, mimi ninatakriban miezi sita sijaangalia hiyo tv yenu ya taifa
 
kwa kweli mimi huwa na angalia kusikia nape kazungumza upupwe gani basi ili nijue jinsi gani anavyo zidi kuchemka na kujibomoa zaidi na zaidi kwa sababu najua ndiyo tv yao wanayo ilipia kodi ndo maana inaonyesha ujinga wao
 
Tbc ni kwa ajili ya propaganda za ccm kupumbaza akili za watanzania.
 
usijali mkuu ni yale yale tu ya ujamaa kutumia resources za nchi kuendeleza propaganga zisizo na tija kwa nchi!
 
uko nchi gani mkuu? chadema ni movement of the people from oppresion na ufisadi...
 
Back
Top Bottom