TBC ni mali ya ccm?

Guyton

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
264
78
Wakati kuhama kwa Prof. Safari kutoka CUF kwenda CDM haikuonekana kama ni habari, leo TBC imetangaza kwa mbwembwe kuhama kwa wafuasi wa CHADEMA mkoani mbeya kwenda cha tawala.
wadau ili mnalionaje?
 
Ndg yangu huo ndio ukweli wenyewe,TBC ni CCM Kabisa hilo halina ubishi by the way hivi mkuu bado unaitizama TBC kweli kabisa???!mwenzio niiliachana nayo recently after TIDO had left the station.
 
Ndg yangu huo ndio ukweli wenyewe,TBC ni CCM Kabisa hilo halina ubishi by the way hivi mkuu bado unaitizama TBC kweli kabisa???!mwenzio niiliachana nayo recently after TIDO had left the station.
ndg yangu leo niliangalia ili nione kama wataitangaza hii habari baada ya kutoitangaza ile ya Prof. Safari, mbaya zaidi yule dada mtangazaji katangaza kwa mbwembwe uku akionesha wazi ushabiki nakati anajua kuwa ile ni mali ya umma.

Binafsi limeniuma sana kama ata mambo madogo ya kawaida tunashindwa kuyaendesha kama ipasavyo makubwa inakuaje?
 
Wakati kuhama kwa Prof. Safari kutoka CUF kwenda CDM haikuonekana kama ni habari, leo TBC imetangaza kwa mbwembwe kuhama kwa wafuasi wa CHADEMA mkoani mbeya kwenda cha tawala.
wadau ili mnalionaje?

kabla hatujalionaje..??? WEWE UKO UPANDE GANI?
 
Jamani kilichomtoa Tido pale ni kuruhusu mijadala ya "Harakati majimboni" kipindi cha kampeni ambapo CCM walikua hawashiriki!! Baada ya Tido kuondoka TBC basi imekua ya CCM hamna la maana lolote wanafanya zaidi ya kurudia tu kama kuna mambo ya CCM ya zamani ndio maana hata nilivyoona leo jinsi mtangazaji alivyokua na mbwemwe sikushangaa kabisa halafu bahati mbaya tu leo imetokea nimeangalia taarifa ya TBC huwa siangalii tangu Tido aondoke..
 
Lakini iko siku tutawawajisbisha hawa....Yes that day is not that far
 
Back
Top Bottom