TBC na vipindi vya Kiswahili

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,884
hawa tbc one siwaelewi kwa hili...

wameongeza kipindi kingine cha lugha ya kiswahili

sasa tofauti ya hivi vipindi viwili mimi siioni
halafu vipindi vyote haviko interactive....
yaani huwezi changia moja kwa moja
kipindi eti mpaka uandike barua....

hivi hawa watu wapo serious????????
 
Back
Top Bottom