TBC na UCCM mpaka kero

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA
 
Wakuu,bado mnaangaliaga tu hiyo channel?Mi niliacha kitambo saana kuangalia,radio yao hua sisikilizi na UHURU,MZALENDO,HABARI LEO ndio kabisaa!
 
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA
..............baada ya ule mchakato, mchakato majimboni, ulee uliomtoa TIDO, yule mkurugenzi mahiri,(sifa zake hata kama wengine itawachefua) TBC haina mvuto tena, hata wanaoitazama, wanatazama kwa mazoea tu, imejaa kong'ota (wachumia tumbo) hamna mbayuwayu tena, wale wanaochanganya na za kwao, akili zao. watz sio wale wa jana wanachokifanya tunakiona, tunalinganisha na tv zingine, then tunajiridhisha ni uchuro, kodi zetu zinatumika sivyo.......
 
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA

Ukiona manyoya jua............................................., CDM kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mOJA KWA MOJA NINAHISI Waandishi na Tv presenters karibu wote ni wadau wa CCM.mfano jana habari kuhusu CHADEMA saa 2 usiku ilikua kero kupita kiasi, no details on statments.Bora msiseme lolote kuhusu hawa CHADEMA. Mbona jambo lolote kuhusu sie CCM linachukua hata zaidi 1.5?.Mnakera watanzania na kodi zao.Jirekebisheni kwa hili ili mkubalike kama mwazo. always it is not fair news on side of CHADEMA

Nitashangaa sana siku CDM wakiingia madarakani alafu wakawachekea TBC... Sipendi kulipiza kisasi lakini ni vizuri watu wakafunzwa adabu. By the way, kuna wananchi wengi sana wenye elimu na uwezo wa kufanya hizo kazi, na hawako biased. Sasa siku CDM mkichukua nchi alafu mkaendelea kuwalea hao mabazazi na wengine aina ya akina OCD Zuberi, hakika hatutawaelewa...
 
Ki ukweli TBC wanaboa tena wamekuwa wapuuzi sana kila kunavyokucha,nami nilichoamua ni kuahirisha kui-tune.
 
Kuna...
  1. CCM aka Magamba
  2. CUF aka CCM B
  3. NCCR Mageuzi aka CCM C
  4. and then TBC1 aka CCM D or TBCCM1
 
Msikasahau hako kanakojiita Amina Molel,magazeti yote yanayoiponda CCM hakayasomi hasa zile heading kananiudhi na kakichwa kake kama fenesi.

Lakini wangefanyaje kama msimamizi wao ni product au mteule wa magamba! Try this, kutana na yeyote kutoka hapo TBC lakini awe amepata kazi pale kutokana na elimu na uwezo wake binafsi (sio wale waliopenyezwa kwa vimemo) halafu uongee naye kirafiki tu umuulize akueleze ni mfuasi wa sera za chama gani utashangaaa! Mimi namfaham mmoja pale ni mwanachama wa siku nyingi sana wa CDM ila anajifanya kondoo tu ili wanae wasile nyasi.
 
waachen wabebane, hivi nyie mwasumbuka na hao! jiulize mataifa mengine tv za taifa huonyesha kitchen party?
 
Kuna...
  1. CCM aka Magamba
  2. CUF aka CCM B
  3. NCCR Mageuzi aka CCM C
  4. and then TBC1 aka CCM D or TBCCM1
Bila shaka huwa mnafanya tathmini ya mipango yenu na kuona ni kwa kiasi gani mnafanikiwa, matharani katika mpango wenu huu wa kuviita vyama matawi ya CCM. Kuna mafanikio mliyoyapata ndio maana mnadumisha mpango, au malengo hayajatimia?
 
Mwisho wa TBC ni 2015. Nashauri kama unafanya kazi hapo au una nduguyo mwambie aanze kutafuta kazi nyingine mapemaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom