Tbc na kimbelembele

EMMANUEL NSAMBI

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
402
83
Wana JF,
Mtakubaliana na mimi kwa kile TBC walichokuwa wanakifanya kule Arumeru wakati wa kampeni
za ubunge.Mara zote wamekuwa wakijaribu kuonyesha upande mmoja yaani CCm na wakati mwingine
hata kuchanganya picha kuwahadaa watazamaji.Baada ya matokeo kutangazwa wameonyesha wakimhoji mbunge
mteule Joshua Nassari,lakini sijawaona wakimhoji mgombea aliyeshindwa Sioi Sumari.Jana nilikuwa
pale leganga kushuhudia Nassari akiwashukuru wapiga kura na TBC walikuwa mstari wa mbele kuhahikisha
wanapata coverage nzuri.Kama si unafiki ni nini?
 
nafikili wangeconcetrate kuonyesha comedy waache kabisa mambo ya nassari
 
Wana JF,
Mtakubaliana na mimi kwa kile TBC walichokuwa wanakifanya kule Arumeru wakati wa kampeni
za ubunge.Mara zote wamekuwa wakijaribu kuonyesha upande mmoja yaani CCm na wakati mwingine
hata kuchanganya picha kuwahadaa watazamaji.Baada ya matokeo kutangazwa wameonyesha wakimhoji mbunge
mteule Joshua Nassari,lakini sijawaona wakimhoji mgombea aliyeshindwa Sioi Sumari.Jana nilikuwa
pale leganga kushuhudia Nassari akiwashukuru wapiga kura na TBC walikuwa mstari wa mbele kuhahikisha
wanapata coverage nzuri.Kama si unafiki ni nini?

Siku ya uchaguzi ITV siku nzima ilikuwa inatoa full report ya kinachoendelea hadi saa nne usiku. TBC waliendelea na vikorombwwezo vyao kana kwamba hakuna kinachoendelea huko Arusha. Asubuhi matokeo yalipokuwa tayari nilitegemea kama ITV ndio watangaze live kutoka Arumeru Masharikiki, lakini kinyume chake TBC wakadandia matangazo hayo na kuwaweka nado IEV ambao wametupa mwendelezo mzima siku ya uchaguzi. Tabia hii haivumiliki kuendekezwa katika vyombo vya habari nchini
 
sio mbaya kutangaza mshindi tumeshajua ni CCMTV hawakuwa na jinsi
by the way soon TBC itakabidhiwa kuwa mali ya umma na serikai haitakuwa na umiliki wowote
itakuwa chombo huru na haitafungamana na upande wowote
itatumikia walipa kodi wake ambao ni Watanzania
itawezekana tu CCM ikifa rasmi 2015
 
Wana JF,
Mtakubaliana na mimi kwa kile TBC walichokuwa wanakifanya kule Arumeru wakati wa kampeni
za ubunge.Mara zote wamekuwa wakijaribu kuonyesha upande mmoja yaani CCm na wakati mwingine
hata kuchanganya picha kuwahadaa watazamaji.Baada ya matokeo kutangazwa wameonyesha wakimhoji mbunge
mteule Joshua Nassari,lakini sijawaona wakimhoji mgombea aliyeshindwa Sioi Sumari.Jana nilikuwa
pale leganga kushuhudia Nassari akiwashukuru wapiga kura na TBC walikuwa mstari wa mbele kuhahikisha
wanapata coverage nzuri.Kama si unafiki ni nini?
chochote wanachokifanya TBC kina work, Nassari alikuwa mtu wa kwanza kuwapa interview TBC sekunde kumi baada ya kutangazwa mshindi. Sasa hapo mwenye kimbelembele sijui ni yupi kati ya hawa wawili, TBC na Nassari. Yani viongozi wanachukulia mambo kijuu juuuu... Chombo ambacho umekilalamikia milele kwamba hakiko fair kwenu huwezi ukawakimbilia kuwapa interview.
 
Back
Top Bottom