TBC na habari za CHADEMA

Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!
Ulikuwa na akili Timamu wakati unaandika hii. Au ulishavuta Kaya na kunywa Valuer.
 
Hii kitu nliona jana na leo pia wamerudia vilevile,habari nyingine zote zinatoka safi lakini ikifikia ya cdm wanaikatakata kiaina!Nadhani Mshana anaogopa kilichompata Tido.
 
hawa watangazaji wa tbc si wa kulaumiwa sana-inawezekana wao wanapenda kusoma hizo taarifa-ila maboss wao wanawaingilia kwenye kazi zao-so wanajikuta ni lazima wafwate yale wakuu wao wanayosema-
ILA KWA SASA TBC INA BIAS SANA
 
Hivi TBC kama hamtaki kutoa coverage ya habari za CHADEMA si muache yaani huyu katibu wa CHADEMA ametoa neno moja tu na siku zote hamtoi habari za CHADEMA vizuri hata msipotoa sis tutapata tu habari, hamlazimishwi sis tunajua nyinyi ni chombo cha propaganda cha CCM.

duuuuuuuuuuuuuuuuuu hivi wapo HI WAPO TBC MIMI NATAZMA TBN,K24,ALJAZIRA,PRESS TV,KBC,CAPITAL KIDOGO, NTV,CHANEL TEN KIDOGO,TEN SPORT,ESPN,HBO, STAR MOVIES,STARSPORT ,MAGIG AFRICA, NA KUBWA YAO EMANUEL TV NA MIRACLETV
 
Nina akili timamu kabisa na ni nyingi kuliko za kwako. ndio natoka sasa nikavute bange kama kiongozi wako!
Unanijua mm we mku..zu au ..nina uwezo wa kukuingilia kinyume na maumbile dakika yeyote ninayotaka! akili yangu ni ya kwako na mabwana zako, mara elfu moja.last warning...usiandike upupu hapa.
 
wengi walioangalia TBC1 leo usiku, watakubaliana nami kwamba lile lilikuwa ni tatizo la kiufundi. Sikulaumu inatemegeana na uelewa wako kuhusu haya mambo. au ndo wale wale wenzangu na mimi the the the the ..............kingereza za tuition? au fani uliosoemea ndo imekudumaza hivyo? pole
 
Had Chadema substantiated its plans to launch a TV channel, all these complaints would have never been brought forward. The fact that Chadema seems to ignore the importance of owning its own TV station has left CCM to manipulate TBC for its own gains.
 
hata wakibana nguvu ya umma itawaumbua tu, chadema ni kama maji sasa hivi, usipoyaoga utayanawa, usipoyanywa utapikia, wataitangaza tu siku moja kama Libya walivyokuwa wakiikataa nguvu ya umma Libya. Peoples Pooooowers
 
Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!

'akili yako finyu sana, piece of shit
 
Tutaipigia kelele kwani inaendeshwa kwa kodi zetu. Badala ya CCM kuanzisha TV yao, wanatumia ya serikali. Hawa watu wanaweka mazingira ya kupambanisha wajukuu zetu miaka inayokuja. Kama ilivyokuwa Tahrir square na Green square... Wao watakutana Jangwani spuare!
 
hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu msami badala ya kutamka lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
Hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....

hatuishi kwa mkate tu! And when one door is closed many more....
U might even find a window opened.......
Let zem bii!
 
Back
Top Bottom