TBC na Dr Benson Bana

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
hivi TBC wameingia mkataba na Dr Bana?ni mara nyingi sana TBC wanamtumia kama mchambuzi wa mambo ya siasa.ina maana hakuna wasomi wachambuzi wa mambo ya siasa zaidi ya Bana?
 
Hivi kma ulikuwepo, mi mwenyewe najiuliza hivi watu wengine wamegoma kuzungumzza kuliko kutuletea huyu mzushi. Yaani Tbc wangekuwa wanaona wanavyokera nafikiri wangefunga kituo.
 
hivi ameandika paper ngapi na zimesaidia vipi maendeleo ya jamii yetu?TBC mnachagua watu wenye vitambi au tai pekee??
 
Ndugu yangu, hao TBC wanaangalia mazezeta. Hayo ndo wanayoyaita. Jiulize: kwanini kwanini hawamwiti Dk. E. Lwaitama? Ndo maana wenye akili zetu tangu afukuzwe Tido Mhando tumeacha kuangali Station yao!!
 
jamaa always comment zake zimekaa kiwogawoga,..kila anapoongelea ishu kama hizo huwa anamung'unya sana maneno as if kikwete yuko mbele yake,..kwa ufupi jamaa is a coward na comment zake hazipo objective...
halafu mtu mzima kama yule kulamba viatu vya watawla ni aibu,.pamoja na usomi wake hataacha legacy yoyote
shame on you bana..dr????i doubt it very much
 
ndio wasomi tulionao hawa,yaani badala kutoa michango ya kisomi wao wanakalia kujipendekeza na unafiki tu.
 
Jina na huyo "msomi feki" linanikumbusha Kemia ya Kidato che kwanza kile kifaa cha kuchomea kiitwacho BUNSEN BURNER...!
 
hivi ameandika paper ngapi na zimesaidia vipi maendeleo ya jamii yetu?TBC mnachagua watu wenye vitambi au tai pekee??

Kama wiki moja hivi na ushei alisema wanafanya uatafiti Igunga ili kujua ni kwa nini watu wengi hawakujitokeza kupiga kura, sijui yeye hajapata taarifa za watu kuuza shahada za kupigia kura, na mamluki waliokuwapo enzi ya The Gamba.

TBC nao wameishapotea njia, wanaweza tu propaganda za kunadi hayo magamba na ving'amuzi vya kichina tu.
 
B B ni mojawapo wa educated barbarians hapo tanzania Udsm.Ningekuwa sijaishia form... jamaa huyu ningemwambia ukweli kwenye seminar za PSPA au Th2.WASOMI W.A..J..I..N..GA NI JANGA.
 
Back
Top Bottom