TBC kuzima mitambo yake kuanzia saa sita usiku leo!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Chanzo tbc1 na macho yangu mwenyewe!!

Wanasema watafanya matengenezo kwenye satellite yao hivyo watalazimika kuzima mtambo! Isipokuwa wale wanaoangalia kupitia DSTV wao haiwagusi
 
Hata wakizima kote kote kuna alternative channels kwani they are doing no favors to the viewers by being partisan!
 
Chanzo tbc1 na macho yangu mwenyewe!!

Wanasema watafanya matengenezo kwenye satellite yao hivyo watalazimika kuzima mtambo! Isipokuwa wale wanaoangalia kupitia DSTV wao haiwagusi

iyo SATELLITE ilinunuliwa lini na TBC?
 
Wazime hata mwezi mzima kuliko kuwahadaa watanzania na taharifa zao za magamba...TBC go to hell!
 
Hawana jipya mali ya jamii wanaiendesha ki ccm iko cku uzalendo utatushinda tu watajuta kuifaham tanzania
 
Wanasema watafanya matengenezo kwenye satellite yao hivyo watalazimika kuzima mtambo! Isipokuwa wale wanaoangalia kupitia DSTV wao haiwagusi

That's the difference between Tido Mhando na kilaza Mshana. Kwamba kutengeneza mtambo inabidi uzime mitambo! na hakuna back-up system? Tido alikuwa ana-operate vipi?
 
Kwani TBC ipo sio kwamba imeondoka na TIDO aliyeianzisha na sasa imerudi ilikotoka TUT,TVT,hata wakizima tutaangalia KBC,BBC,ALJAZEERA,CNN na nyinginezo ambazo zinarusha matangazo ya wote kwa wote bila kuogopa mafisadi au magamba
 
Back
Top Bottom