TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

Hawa jamaa TBC walipewa mtaji mkubwa sana wa kuanzia na vifaa vya kisasa kuliko sector binafsi inayounga unga lakini ipo na hakuna aliyeomba mtaji.

Kama walichopewa miaka michache iliyopita wamepoteza please let them die kwani haitosaidia watamaliza tena like SU zote zilizokufa. Mkiwapa muda mrefu wa kufa si sawa bora wafe haraka sana na wahusika wote waliofilisi wakamatwe sasa manake wapo.
 
Afadhari wafunge maana hawana wanachofanya kwani sijawahi kuona tv ya taifa inakuwa na mpanilio mbovu wa vipindi maana hawana vipindi vinavyovuta usikivu yaani mijadala live ya kitaifa kasoro kimoja tu cha twambie nscho wanaochukuliwa ni wale wahusika hakuna wa kuwahoji zaidi ya mtangazaji.
 
Taarifa ya habari saa mbili,

Nkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa, akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera, vifaa vya kuchanganya matangazo hawana na kwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na millioni 500 ni ndogo walizopewa za uendeshaji

My Take:
Ni heri TBC ifungwe kwani haitusaidii kitu wanaendekeza libeneke la kuminya demokrasia

Ife kabisa hata sasa hivi,kwanza kodi zetu zinapotea tu bure kukiendesha kituo hichi kisichotoa habari kwa usawa.
 
Tbc ifungwe mitambo yake iuzwe na premiseses zote ziuzwe , na ninapendekeza pia shirika la reli lifungwe , reli , locomotives ziuzwe kama chuma chakavu na premises zake ziuuzwe zote . pesa itakayopatikana wagawiwe Watanzania wote kwa usawa. Tusahau kabisa na tuachane kabisa kufikiria njia za kuboresha mashirika yetu. Wazo zuri sana kwa nchi yetu kujiweka katika mazingira ya kuuisha vile tuliyvonavyo

Hivi kumbe TBC haijauzwa tu. Basi fungeni tena haraka sana. Tido aliwainua tena sana wakaendekeza issue za maghamba, ACHA WAFUNGE! Magamba hoyeeeee!
 
Na je haya matangazo wanayotutangazia kwamba coming soon kama vile Beat Agenda
yatakuja ikiwa imefungwa!?
 
Funga haraka wanaonyesha ***** mtupu kina marini na pozi za kuigiza pale TBC kipindi ni This week perspective tu baaaaaassi hao kina marini wakaanzishe documentary za kapmanei ya ccm
 
Kazi kweli kweli.
Kumbukeni hicho ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zenu hivyo kwa njia yoyote ile hakiwezi kufungwa.

Mtakamuliwa mpaka tone la mwisho katika kodi kulipia chombo hicho kiendelee.

Poleni sana
 
Funga haraka wanaonyesha ***** mtupu kina marini na pozi za kuigiza pale TBC kipindi ni This week perspective tu baaaaaassi hao kina marini wakaanzishe documentary za kapmanei ya ccm

Watangazaji hawapashwi kuwa too COLOURFUL, niliwahi kulisema humu lakini naona hakuna kilicho badirika.
 
Back
Top Bottom