TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

Hapo kwenye red: Maana yake serikali imeshindwa kutatua tatizo la wezi? Lakini wala sishangani maana mgeuza kazi za polisi toka kuchunga usalama wa raia na mali na sasa wanakuwa watesaji.

Acheni hizo wapiga deal wakubwa ni hao madaktari; watesaji unauhakika serikali inahusika?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
chama,zomba,ukwaju na asenga...wametumwa na chama,wapo kazini..msiwachukie jama..the best way to treat them ni kuignore post na thread zao kwani shida yao ni kutaka kunua kama wananchi wanajua ukweli, na njia kuu ni kuleta hija zisizo na msingi,malumbano na uchonganishi!!

Hivyo ni bora kutoa na kuchangia mada mbali mbali, na kutozigusia kabisa hoja zao.
Nawasilisha.
 
hongereni kwa kuchagua fungu jema....... I can join you to fight the good fight
who needs you?what for?wacha kujikomba kwani walikuandikia barua ya maombi ujiunge nao?
Tell your gvt to stop playing politics with people's lives.
 
Hivi star tv wanarusha habari za uongo? Nimeona Specialists wa Muhimbili wakidai kugoma kwani hawawezi kufanya kazi bila kuwa na madaktari wasaidizi. Au ndo wameshaingia wale WAIRAN? Hata kuna kuna mafunzo ya Persuasion and Propaganda kwenye course ya public relations and marketing,kwenye hili PRO umepotea.Tunataka ukweli wa mambo na usikubali kutumika kisiasa kwani unaidhalirisha taaluma yako. Siyo kama hatutaki madokta warudi kazini, lakini tunataka kabla ya kurudi waseme kama madai yao yametekelezwa na serikali? Mazingira ya kazi wanauhakika yataboreshwa? Vinginevyo,wawajibishwe kwa kosa la kuwatesa watanzania kwa mgomo ambao mwisho wake hauna tija kwa wananchi. No improvement-no service!!!
 
[h=1]Breaking Nuuuuuuuuuz: [/h]



JULAI 2, 2012


Huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili zimerejea katika hali ya kawaida baada ya Madaktari kurejea kazini Jumatatu ya leo Julai 2, 2012.


Tathimini iliyofanyika kuanzia asubuhi saa mbili hadi saa 11 jioni inaonyesha kuwa katika Idara ya Tiba, Madaktari Bingwa 19 kati ya 21 wamefika kazini ambapo watatu wako likizo. Aidha Registrars wote 12 walikuja kazini. Kliniki zote za tiba zimefanyika kama kawaida.


Katika Idara ya watoto, yenye Madakatari Bingwa 16, kati yao 14 walikuja kazini wengine wawili wako likizo na Registrar watatu kati ya sita walikuja kazini ambapo watatu wako likizo


Upande wa OPD yenye Registrars saba, sita kati yao walikuja kazini na mmoja yuko likizo. Aidha Madaktari Bingwa wote walikuja kazini.


Idara ya Magonjwa ya Afya ya Akili yenye Madakatri Bingwa 10, tisa walikuja kazini na mmoja wao yuko masomoni.


Upande wa Emergency Medicine, Registrars wote 10 walikuja kazini.


Kuhusu huduma za upasuaji, wagonjwa wote waliolazwa wodini wameonwa, na baadhi ya kliniki za huduma ya upasuaji zilifanyika. Hata hivyo, upasuaji haukufanyika kwani hakukuwa na orodha ya wagonjwa waliopangwa kufanyiwa upasuaji..


KWA UJUMLA, MADAKTARI WAMEREJEA KAZINI.


Imetolewa na;




Aminiel Buberwa Aligaesha
Afisa Uhusiano Mwandamizi
Julai 2, 2012


taarifa ya habari ya itv saa 8pm wametangaza kuwa madr.bingwa wametangaza kuanza mgomo rasmi.hii taarifa inaukweli?au ndiyo furahisha bwenga
 
Sababu haina SOURCE inaweza kusomeka hivi!

Breaking Nuuuuuuuuuz:





JULAI 2, 2012


Huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili hazijarejea katika hali ya kawaida baada ya Madaktari kutorejea kazini Jumatatu ya leo Julai 2, 2012.


Tathimini iliyofanyika kuanzia asubuhi saa mbili hadi saa 11 jioni inaonyesha kuwa katika Idara ya Tiba, Madaktari Bingwa 19 kati ya 21 hawajafika kazini ambapo watatu wako likizo. Aidha Registrars wote 12 hawakuja kazini. Kliniki zote za tiba zimeshindwa kufanya kazi


Katika Idara ya watoto, yenye Madakatari Bingwa 16, kati yao 14 hawakuja kazini wengine wawili wako likizo na Registrar watatu kati ya sita hawakuja kazini ambapo watatu wako likizo


Upande wa OPD yenye Registrars saba, sita kati yao hawakuja kazini na mmoja yuko likizo. Aidha Madaktari Bingwa wote hawakufika kazini.


Idara ya Magonjwa ya Afya ya Akili yenye Madakatri Bingwa 10, tisa hawakuja kazini na mmoja wao yuko masomoni.


Upande wa Emergency Medicine, Registrars wote 10 hawakuja kazini.


Kuhusu huduma za .......
Hata hivyo, upasuaji haukufanyika kwani hakukuwa na orodha ya wagonjwa waliopangwa kufanyiwa upasuaji..


KWA UJUMLA, MADAKTARI HAWAJAREJEA KAZINI.


Imetolewa na;




nngu007
JF Premium Member
Julai 2, 2012

 
Hivi star tv wanarusha habari za uongo? Nimeona Specialists wa Muhimbili wakidai kugoma kwani hawawezi kufanya kazi bila kuwa na madaktari wasaidizi. Au ndo wameshaingia wale WAIRAN? Hata kuna kuna mafunzo ya Persuasion and Propaganda kwenye course ya public relations and marketing,kwenye hili PRO umepotea.Tunataka ukweli wa mambo na usikubali kutumika kisiasa kwani unaidhalirisha taaluma yako. Siyo kama hatutaki madokta warudi kazini, lakini tunataka kabla ya kurudi waseme kama madai yao yametekelezwa na serikali? Mazingira ya kazi wanauhakika yataboreshwa? Vinginevyo,wawajibishwe kwa kosa la kuwatesa watanzania kwa mgomo ambao mwisho wake hauna tija kwa wananchi. No improvement-no service!!!

mkuu mimi kama mtaalamu wa PR hii huwezi kuiita hii ni Persuation hata kidogo...hii ni Propaganda pure...they are trying to toy with people's mind something which will result to damage of credibility to who wrote this ****.
 
MUNGU AWAJALIE naomba msitumiwe na wachochezi na wasio wazalendo wanaotumiwa kisiasa
 
Toka yule hakimu muhaya alipotoa hukumu ya Lema kule Ar na wale vijana wa Bk kumpigia saluti Nape kila nikiona tangazo lina jina la Kihaya mwishoni huwa nahisi ni propaganda tu. Samahani kama nimewakwaza ila hata huyu aliyetoa tangazo simuamini hadi ije independent source
 
Back
Top Bottom