TBC hawajaonyesha Maandamano Misri

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Wajameni, leo kwemye taarifa ya usiku saa 2 mbona sijaona TBC wakionyesha maandamano ya Misri? Ndo kusema hayana umuhimu wowote? Nawasilisha?
 
Siku zote watawala huwa hawapendi kuona upande wa pili wa shilingi wanataka kuonyeshwa gwaride la mapokezi ya rais na wasikie mizinga ishirini na moja hapo utawapata watacheka hadi uone meno selasini yote mbili.
 
Kaangalie Al Jazeera leo siku nzima walikuwa wanaonesha, nadhani na Billz usiku huu wataonesha kwenye zile uLCD zao karibu.
 
Du TBC watanyamaza lkn TV za nje na mitandao tunaona km alivyosema Mjepu Al-Jazeera wapo Live huko Cairo CCN nao wanasema waandamanaji zaidi ya milioni moja leo wapo na hawatatika hapo Tahrir square mpaka Mubarak aliyeshinda kwa kishindo aachie ngazi
 

Attachments

  • c1main.tahrir.square.crowd.gi.jpg
    c1main.tahrir.square.crowd.gi.jpg
    36.2 KB · Views: 29
Angekuwa ni Tiddo Mhando angeonyesha zamaaaaani ili wananchi wajionee jinsi walivyo na nguvu ya kuamua nani awaongoze!!
 
wameonesha jamani. Tena wakasema dr mwingine wa ukweli wa huko misri hakuungana na waandamanaji kwa sababu za kiusalama
 
Hata hivyo wanaonyesha kwa mashaka mashaka kuna jinsi wakuu wameshawapa tahadhari. Ila kama una kingamuzi cha star times usipate shida just fungulia aljazeera utaona Live kuanzia asubuhi mpa usiku. Hata sasa ndo ninaangalia
 
Aaah! Sisi huku walitungeleja kwa vile hata taarifa ya habari yenyewe hatukuona. Ila kwa zama za kisasa ni ngumu kuzuia screen kwa taulo mkuu. Watu lazima tutaona tu.
 
Kaangalie Al Jazeera leo siku nzima walikuwa wanaonesha, nadhani na Billz usiku huu wataonesha kwenye zile uLCD zao karibu.
aljazeera imekua TBC1 siku hizi................hebu think twice wewe kibaraka
 
The one party system radio has responsibility. The main ojective is to supress peoples cosciousness for the benefit of the ruling party so that there shall be no or limited oposition. Is TBC for multi party?
 
Back
Top Bottom