TBC Habari saa mbili usiku Leo: Waalimu kote nchini wametii amri halali ya serikali!

Status
Not open for further replies.
hicho ni kituo cha kutangaza na kutukuza habari za mafisadi,walarushwa na kuwapamba akina akili ndogo kuongoza akili kubwa.Tbc ni enzi za tido kwa sasa udwanzi mtupu hakuna cha kujifunza bora uangalie kipindi cha pikabom kutwa mzima kuliko kuangalia Tbc.
 
saa mbili usiku wa lini leo au jana? Hebu toa uhakika wa jambo hili.
nafikiri hujamuelewa mtoa mada,yeye ame predict(ametabiri) jinsi walivyo bias ndivyo watakavyosema
maana hawa wandugu hawana jipya zaidi ya kulea maovu yote ambayo serikali inawafanyia raia wake
tangu mwanzo hawjawahi kutoa habali ya mgomo wa walimu zaidi ya serikali yasitisha mgomo wa walimu kwani ni batili ndio habari pekee wao waliyoitangaza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom