TBC comedy hawana jipya

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
120
Tangu walivyodanganywa kutoka EAST Africa TV kuhamia TBC wanaonyesha michezo ya kitoto, Walipokuwa East Africa TV walikuwa wanakosoa serikali, matumizi mabaya ya ofisi na uongozi, wanaelimisha jamii, na mambo mengi yenye manufaa katika jamii ya watanzania n.k. Kweli jamii ilikuwa inasubiri kipindi kwa hamu, Lakini siku hizi ni kichefuchefu tupu, naona bora mjivue GAMBA kama wakubwa zenu waliowajiri!!!!!!!!
 
Mjasilia mali mara nyingi hubadirika kulingana na upepo wa wateja, Vinginevyo watakufa njaa. Big up Ze comedy msikilize Lamchina atawapa pesa yeye?
 
Back
Top Bottom