Tbc 1, wanachefua

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
leo tena mtangazaji wa kipindi cha magazeti tbc 1 anajifanya hajui kusoma aliposhika mwananchi.anasoma utadhani porn star kabugia mpododo.unajua mwananchi habari kuu ni prof.shivji aponda baraza la jk kuwa ni la kulipana fadhila.anasoma ugoro eee,mhh kuhusu baraza la mawaziri...anafunga.mjinga huyu anadhani tunaangalia mzoga huo wa tbc? Pekee! Mwambieni star tv wanasoma hadi mwanahalisi
 
I say nakubaliana na wewe kwa jinsi TBC wanavyotia kichefuchefu hasa wanaposoma magazeti kuhusu issues ambazo zinachallenge serikali. wanasahau kabisa professional na ethics za impartiality na kuact kama makoyoyo ya mtaaani. Very dissapointing! Walianza with a lot of promise laikin sasa naona wanakwenda pabaya na wanaanza kupoteza umaarufu. Kama ulivyosema ndugu yangu watu wengi sasa wanajimuvuzisha kwa Star TV ambao wako more objective kuliko TBC 1. Big up to Star TV!
 
tatizo lililopo ni kuwa Tbc hawajui kuwa wao ni chombo cha jamii na wala sio cha watu wachache ama chama,nadhani umefika wakati sasa TBC kujitambulisha kuwa ni chombo cha chama furani ili tuweze kujuwa,kwani nakumbuka walikataa kurusha liletangazo la kwanini wtz tu masikini,eti halikukidhi viwango,na tunajuwa walilikataa kwa sababu ya swali lilikuwa linaigusa serikali na chama cha ccm kwa ujumla

ok tbc nanyi tumewachoka ngoja tubadilishe katiba kwanza,itatusaidia kuweka mambo mengi vizuri

mapinduziiiiii daimaaaaaa
 
Kwa maoni yangu nadhani sio policy ya TBC kukwepa challenge kwa serikali, bali watangazaji individuals wenye nia ya kujikomba komba serikalini ili waonekane wazuri, TBC inahitaji watangazaji bold. Mbona Shabani Kissu akiendesha kipindi cha mchakato majimboni, serikali ilisulubiwa vilivyo?.
Mengi ya majimbo yaliyobahatika kushiriki Mchakato Majimboni, ndio yametwaliwa na wapinzani.
 
TBC ni wapumbavu kabisa wanafikiri kile kituo ni cha jk wakati kinaendeshwa kwa kodi za watz wote. chunguza sana gazeti kama tanzania daima huwa hawalipi nafasi sana na hasa habari zake zinapokuwa zinapingana au zinaipa changamoto serikali, wee TIDO na vibaraka wengine hapo tbc siku zenu za kutufanyia mauzauza zinahesabika, jinga kabisa!!
 
Ukweli na uhakika imebaki kuwa danganyatoto. TBC kazi yao ni kuipamba serikali hata kama haipambiki. Nafikiri bongo za wafanyakazi wa TBC hazifanyi kazi tena; hakuna professionalism kabisa. Upuuzi wao huu unathibitishwa pia na kutokusoma maoni ya watazamaji za wasikilizaji wanaoponda serikali kwa hoja. This is shame!!!!!!!!!
 
Hivi bado kuna wana JF. Wanaongalia tbc!!? Wakati kuna machanel kibao ya maana na watu wenye taaluma zao!
 
SJUI K.M TIDO anaona upuuuzi huo,mf leo saa moja kasoro yaule kaka kanichefua kwel kwel,basi wawe wanasoma Uhuru tu,maanake ndio ianasomwa vizuri
hawezi kutumia kodi wa masikin halafu.........
 
Kama uliona siku baraza la mawaziri lilipotangazwa kwenye taarifa yao ya habari walimwalika mama mmoja anaitwa Akilimali NI MWANAHARAKATI KAMA MAMA NKYA ALIPONDA NA KUSEMA hajui swala la udini limetoka wapi na kusema Raisi ni mchochezi yule dada aliyekuwa ndio mtangazaji wa habari alikuwa anaogopa huku akiwa anataka kumkatisha sijui kama yule mama atapata mwaliko tena.

Mtoa maoni nani huyo aliyekuwa anajiuma leo wataje kwa majina tuwasusie manake hata Clouds watu tumesusa hasa JAHAZI cha mke wa JIDE na Kibonde msambaza ngoma
 
Yaani ile ni stesheni ya CCM...........UHURU TV....................hiyo TBC1 ni geresha kwa wajinga wasioelewa!
 
tbc ni utoko,kwa wasiojua utoko ni uchafu wa ndani ya govi kabla haujatahiliwa.
 
leo tena mtangazaji wa kipindi cha magazeti tbc 1 anajifanya hajui kusoma aliposhika mwananchi.anasoma utadhani porn star kabugia mpododo.unajua mwananchi habari kuu ni prof.shivji aponda baraza la jk kuwa ni la kulipana fadhila.anasoma ugoro eee,mhh kuhusu baraza la mawaziri...anafunga.mjinga huyu anadhani tunaangalia mzoga huo wa tbc? Pekee! Mwambieni star tv wanasoma hadi mwanahalisi

Me mwenyewe niliona na mshtuko na aloupata nikahisi labda kuna jamaa alikuwa kwa chini akamminya mapu..u akajikuta karuka sehemu inayofuata
 
These guys (TBC) are not qualified to be journalists anywhere. Wananiuthi wanavyojaribu kuwaiga kina Jim Clans wa ccn, you can really see hata wale wanaohojiwa normally fill discomfort.
 
Kama uliona siku baraza la mawaziri lilipotangazwa kwenye taarifa yao ya habari walimwalika mama mmoja anaitwa Akilimali NI MWANAHARAKATI KAMA MAMA NKYA ALIPONDA NA KUSEMA hajui swala la udini limetoka wapi na kusema Raisi ni mchochezi yule dada aliyekuwa ndio mtangazaji wa habari alikuwa anaogopa huku akiwa anataka kumkatisha sijui kama yule mama atapata mwaliko tena.

Mtoa maoni nani huyo aliyekuwa anajiuma leo wataje kwa majina tuwasusie manake hata Clouds watu tumesusa hasa JAHAZI cha mke wa JIDE na Kibonde msambaza ngoma

Hata mimi niliona mtangazaji alivokuwa anamkwepesha Mama Akilimali kuongelea kutokuwepo udini unaohubiriwa na JK na mafisadi wenzie.
TBC hoffffffffffffyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Juzi pia gazeti la mwananchi lilioandika habari za masha kung'oa Vitasa jamaa alitaka kulisoma lakini akaichunia hiyo habari muhimu kabisa iliyokuwa ukurasa wa mbele kwa herufi KUUBWAAAA!
Halafu wanajamvi naona imepitishwa rasmi sasa vituo vyote vya TV kwamba ni marufuku kusoma magazeti ya Raia Mwema na Mwanahalisi siku ya Jumatano yanapotoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom