Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,468
mbona aonyeshwi mazuri. anaonyeshwa mabaya tu
Wewe kuamka salama kila siku ni mazuri, na hauhitaji sana kujiandaa kukabiliana na mazuri; lakini unahitaji kuomba ili kuepusha hayo mabaya au kuyamanage ili yasilete madhara makubwa.
Manabii wa zamani walikuwa wanatabiri nini kama sio vita, njaa, mapigo ya Mungu ili watu wamrudie Mungu.