TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

Wakuu tuwe makini na club jamani! kinga ni bora kuliko tiba! Lisemwalo lipo km halipo??
 
Mimi naona kila siku watu wanaombewa na kutolewa mapepo hata Mamvi alitabiriwa URAIS na akaambiwa akatoe mali zake zote kwanza
Hakuna kitu kibaya katika dunia hii kama kusumbuliwa na umasikini wa mali na roho wakati huo huo hufahamu njia mbadala ya kupambana nao.

TB Joshua anapambana na masikini wa mali na roho ambao hawafahamu utajiri wataupata wapi.

Kulipukuwa na umasikini wa mali na roho na makanisa na misikiti pia humea na kurutubika. Mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache!.
 
Acheni uzushi. "Msiwaamini wale wote watakao sema njooni Yesu Kristu yupo huku" waaminio ktk Kristu kuweni makini.
 
Omba dhidi ya roho ya "uzushi"
Huyo pastor ndiyo mzushi.

Huyu Pastor anatumia matatizo ya wananchi ambayo ni mali na roho kujitajirisha huku waumini wake wakiendelea kuwa masikini kila siku.

Mavuno ni mengi palipo na umasikini wa mali na roho lakini wavunaji na huyu pastor ni wachache sana.
 
Hakuna kitu kibaya katika dunia hii kama kusumbuliwa na umasikini wa mali na roho wakati huo huo hufahamu njia mbadala ya kupambana nao.

TB Joshua anapambana na masikini wa mali na roho ambao hawafahamu utajiri wataupata wapi.

Kulipukuwa na umasikini wa mali na roho na makanisa na misikiti pia humea na kurutubika. Mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache!.

Maskini wa mali ni yupi na maskini wa roho ni yupi pengine sijakuelewa Mkuu
 
Na utabiri wake usipotimia atatumia kifungu cha Biblia takatifu kujitetea.

huu sio utabiri ni unabii, yaani ametoa unabii! Ni tofauti na akina marehemu sheikh yahya! Ungekuwa unafuatilia unabii wake hakuna unabii aliowahi kutoa ambao haujatimia!
 
Alivyokuwa anatabili yahya hussein mlikuwa mnasema anatumia majini hila kwa kuwa huyo mwenzenu mnamsifia kabisa na unabii wake wa uwongo.
 
Back
Top Bottom