TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

Mwanga tu huyo hamtishi mtu maisha [sitaki maswali] maana wachawi wenzie hamkawii kuja kunikaba usiku nipo safari club mbezi lous bado nasherehekea ushindi wa Chelsea
 
Kwa vyovyote vile hiyo nchi itakuwa ni Uganda, maana tayari kulishawahi kutokea mlipuko kwenye Club kama sikosei.
Kwenye issue ya urais bado ni kizungumkuti, maana haiko specific sana.

Eeh Mola epusha haya mabalaa, na ikiwezekana mwepushe sana na haya madhila Check Bob wetu, bado hata katiba mpya hatujaipata.
waheshimu baba na mama upate kheri na miaka duniani. Najisikia vibaya sn kumdharau rais wa nchi kwa kumwita cheki bob!
 
Simuamini hata punje huyu mtu. Period

Unajua wewe unajichanganya sana yeye hakuomba kuaminiwa ametoa unabii wake tu, jambo la muhimu si kumpinga bali kukaa na kusubiri ili tuone kama itatokea kama alivyotabiri au la!!! Lakini jambo lingine kwetu sisi wakristo ni kuombea amani Taifa letu na pia kumwombea mh. Rais wetu na viongozi wengine ili tuishi kwa amani ili Injili ihubiriwe na watu waokolewe, pia haki itendeke ktk Taifa letu, mimi si mwanaccm ila kila siku namwombea Rais wetu na serekali yake ili tuishi kwa amani, hata ktk unabii huu naomba isiwe kwa Rais wetu.
 
inashangaza...
Yaani huyu Pastor yeye anatabiri matendo ya kishetani tu. Kwa nini hajatabiri mambo ya neema kwa "wana" wa Mungu
Alileta story ya Boko Haram kufutika ikagonga mwamba. Huwa anacheza na probability za matukio katika jamii kulingana na mazingira halafu anakuja na majibu.
Halafu matukio yakitokea ndiyo huwa anajitokeza na kudai alitabiri na limetokea.
Kila mtu na shamba lake la mavuno ya kimaisha na wajinga ndiyo waliwao.
He's getting richer wakati waumini na wafuasi wake wengi getting poorer.
Mimi naona kila siku watu wanaombewa na kutolewa mapepo hata Mamvi alitabiriwa URAIS na akaambiwa akatoe mali zake zote kwanza
 
Hata yeye Tb Joshua alitabiri, hata ushindi wa chelsea champion league alitabiri
Vipi kwa nini hayatamkwi pia na aliyowahi kutabiri na hayakutimia?? Labda nikukumbushe Utabiri wake katika kombe la mataifa ya Africa (AFCON)
 
kwanini asimuombe mungu anayemuonesha hayo atuondolee hayo mabalaaa cc Kiranga

Ninyi ndio mnatakiwa kujiponya nafsi zenu!na acha kwenda club nenda kanisani kumlilia Mungu,marais wote watubu wanyenyekee kwa Mungu huenda akawalinda na mipango ya mwovu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

Ikitokea ni yeye ndie gaidi na amepanga tuwe macho na walokole
 
Unajua wewe unajichanganya sana yeye hakuomba kuaminiwa ametoa unabii wake tu, jambo la muhimu si kumpinga bali kukaa na kusubiri ili tuone kama itatokea kama alivyotabiri au la!!! Lakini jambo lingine kwetu sisi wakristo ni kuombea amani Taifa letu na pia kumwombea mh. Rais wetu na viongozi wengine ili tuishi kwa amani ili Injili ihubiriwe na watu waokolewe, pia haki itendeke ktk Taifa letu, mimi si mwanaccm ila kila siku namwombea Rais wetu na serekali yake ili tuishi kwa amani, hata ktk unabii huu naomba isiwe kwa Rais wetu.
nadhani ingekuwa bora zaidi kuomba isitokee kabisaaa kuliko kuomba kuomba isiwe rais wetu
 
Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

Jamani tuombe sana isiwe tanzania

That is very possible!!!
 
hata kifo cha rais wa Ghana alitabiri,

mmh kwa hili la east africa i hope itakua PK au M7,kama ni disco watu wa mwanza na arusha jipangeni.Na mimi nimeongezea utabiri tuu,anyway im just kidding guys
 
Back
Top Bottom