Tazama wanavyofanya Kenya & new CJ wao

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
HIVI KWA NINI SERIKALI YETU HAIPENDI TRANSPARENCY? ATUALLY KWA NINI WATANZANIA HATUPENDI TRANSPARENCY?

INFACT TUNAPENDA SANA KUCHAKACHUA...MPAKA JF NAYO INATUHUMIWA KUCHAKACHUA THREADS ZENYE PUBLIC INTEREST...SIELEWE KWA NINI JF INAMLINDA MTU KAMA MAHINGILA WA BRELA WHY?


WHY?

ANYWAY



NATAFUTA BADO VIDEO ZA CONFIRMATION HEARINGS ZA CJ WA KENYA KISHA TULINGANISHE NA NAMNA TUNAVYOWAPATA WATU WETU
 
Last edited by a moderator:
huyu mwandishi angekuwa bongo NDUGAI angekoma naye
wangekuwa wanamjadili yeye tu bunge kwa kudhalilisha nchi# duh

na huyo aliyeuliza ARE GAY? mama yangu sijui angefanywa nini?
 
Ni kweli CJ wa kenya interview yake na wale wote waliokuwa wanagombea hiyo nafasi ilionyeshwa in public.
 
Back
Top Bottom