Tazama unyama wa Israel!

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,909
2,477
Tazama unyama wa Israel!!!!!!!!!!!!!!!

wanaua hata watoto!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ama kweli wapalestine madhaifu wanahitaji kusaidiwa na UN na inchi zenye nguvu ili kustopisha mauaji ya wapalestine na kurudishiwa ardhi yao ilio tawaliwa kwa mabavu na Israel.

Tazama link hii chini

Mauwaji ya Gaza dec 2008- jan 2009.

Nasikitika sana kuona binadamu alivyo kuwa adui mkubwa kwa binadamu mwenzake.
 
Last edited by a moderator:

[media]http://www.youtube.com/watch?v=kBYtij4Q7sE[/media]

You forgot this.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=59C17RJoyVU[/media]

And this one too.

Who are the eradicators? The Radical and Barbarians Hamas or Jews? Who to blame, Hamas Terrorists or Jews?

Nenda shule Igunga.
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=59C17RJoyVU[/media]

And this one too.

Who are the eradicators? The Radical and Barbarians Hamas or Jews? Who to blame, Hamas Terrorists or Jews?

Nenda shule Igunga.

Ndugu Maxshimba, hizo ni propoganda za Israel, kila mtu anajua kuwa palestine imetawaliwa na Waisraeli, wapalestine hawana jeshi, Israel Imewatawala wapalestine kwa mabavu na inawaua watoto na wanawake wa kipalestine kila siku lakini wapalestine masikini wanatumia mawe tu kupambana na jeshi la Israel lenye nguvu , kama kweli unajua utu utawahurumia masikini hawa (wapalestine), ipo siku Mungu akitaka atawalipa na kuwaokoa wapestine na shida kubwa inao wapata, Amin.
 
Last edited by a moderator:

Hamas ni nani? Na yale makombora elfu sita waliyotupa since December last year ndio unaita mawe?
LOL

[media]http://www.youtube.com/watch?v=59C17RJoyVU[/media]

And this one too.

Who are the eradicators? The Radical and Barbarians Hamas or Jews? Who to blame, Hamas Terrorists or Jews?

Nenda shule Igunga.

Huu ndio unyama wa HAMAS au ni UISLAM?
 
Hamas ni nani? Na yale makombora elfu sita waliyotupa since December last year ndio unaita mawe?
LOL

Ndugu Doedoe, makombora gani hayo maskini wa mungu!!!! hizo ni fataki tu wanazo zitengeneza nyumbani wala hazina nguvu yeyote ile.
 
Back
Top Bottom