file attached
Tanzanian National Song - YouTubejamaan msaada naomba mwenye wimbo huo tazama raman utaona nchi nzuri.naupenda sana wimbo huo lkn sijui nitaupata vp.sipo dar mwenye wimbo huo naomba auupload tuupate bse najua wengi wanaupenda.
natanguliza shukran
Tanzanian National Song - YouTube
NADHANI UTAKUWA WENYEWE MAANA PC YANGU HAITOA SAUTI
Mkuu huo sio wenyewe huo ni "Tanzania Tanzania". Wimbo wa "Tazama Ramani" uko tofauti sana na ni mzuri sana! Na mie natamani niusikie tena.
"Tazama ramani utaona nchi nzuri...
yenye mito na mabonde mengi ya nafakaaa...
nasema kwa kinya halafu kwa kufikiriii (nadhani nimechapia hapa) ....
nchi hiyo mashuhuru huitwa Tanzaniaaaa....
majira yetu hayaaaa ....
yangekuwaje sasaaaaa...
utumwa wa nchiii Nyerere ameukomeshaaaaa...."
TAZAMA RAMANI!
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
TAZAMA RAMANI!
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
Msitari wa mwisho huwa kuna nyerere na karume,nashangaa jamaa kamuweka nyerere tu
TAZAMA RAMANI!
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
2. Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2
3. Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde name nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha X2