Tazama kisha toa maoni/Maana yake nini

Yote mawili yanachangia, elimu ndogo na makusudi, je uliona Bango au?
 
Labda alitaka kuileta hii.
kikwete_lowasa_monduli.jpg
 
Mh anakuwa sabuni ya kusafisha 'madoa sugu' yaliyopelekea vilio kila kona. Tz ina demokrasia ya ajabu sana, mtu hasafishwi na mahakama bali 'mchafu' mwenzake. MUNGU IBARIKI TZ!
 
Back
Top Bottom