Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Kuna wakati humu JF wanaingia watu ambao uwezo wao wa kuweka hoja ni mdogo sana.Haaahahahaa umeniacha hoi, wale Tausi wanashinda Southern Sun shauri ya njaa?? na kiu? Mkuu hiyo kali Loh!
Kuna wakati humu JF wanaingia watu ambao uwezo wao wa kuweka hoja ni mdogo sana.Haaahahahaa umeniacha hoi, wale Tausi wanashinda Southern Sun shauri ya njaa?? na kiu? Mkuu hiyo kali Loh!
acha kudanganya watu,unaweza ukatumia computer yako kwa kupost chochote humu na ikashindikana kukupata, mimi ni telecom engineer na ninauzoefu wa networkng miaka 7
1. Kumbe hata hujui kama wanatunzwa au la, hata hautakuja kujua.Mbaya zaidi hakuna anyejua kama wale wanyama wanapata matunzo mazuri
kama wangepata matunzo mazuri tausi wasingekuwa wanashinda southern sun kudowea chipsi pale kwenye wiming pool au wasingekuwa wana wamekonda kama huyo hapo juu...yaani maskini ya mungu kabaki kichwa tuu bas!
Salva tunakuomba uwape chakula hawa tausi tafadhali hebu mwogope muumba
USA kila mambo mengi ni open,maana wanajiamini na wanachukulia ikulu kama ofis nyingine za serikali,ila kwa nchi kama hii tanzagiza,huwezi ona kitu,maana wana woga,then wana weakness nyingi sana ambazo wanahofia wa2 wakizijua itakuwa ni aibu
Bado wale wanyama wengine nao hamkawii kuwakuta kigamboni
kigamboni mbona karibu, sema Gezaulole.
Ya magogoni ikiwa hivyo sijui ndo itakuaje ukizingatia na uchafu na harufu ya pale ferry,...